Moyo wa nguruwe sasa yathibitika unaweza kuokoa maisha ya mwanadamu

Siyo moyo tu, hata nyuzi za kushonea wakati wa operesheni zinatengenezwa kutokana na utumbo wa nguruwe. Nyuzi hizo hazitolewi bali hubadilika kuwa nyama kidonda kikipona.

Sikulifahamu hili jambo kuwa zile nyuzi hutokana na nguruwe. Kuna sababu zozote why ngurue na sio kondoo wala myama mwingine yeyote yule?
 
Nguruwe atakwenda hivyo hivyo ni Haramu kama alivyoharamishwa kwa Dini Zote 3 Dini ya Waislam WAkristo na Dini ya wayahuıdi hata wafanye vipi hao wanasayansi Bado Nguruwe atakuwa ni haramu maneno ya Mwenyeezi Mungu hayawezi kubadilika kamwe mpaka mbingu na nchi itakapo toka Maneno yake Mwenyeezi Mungu yatabaki hivyo hivyo tu Nguruwe ni Haramu.

sijui ni mimi nakosea?? ila nguruwe kama mammal ana mfumo kama wa binadamu na nyani na tofauti iko lkn ni ndogo sana na hii hasa ipo kwenye mfumo wa akili na sauti. na hapa tunaanza kutofautiana kutoka kwenye genus
Hujakosea Nyani na nguruwe wote ni wanyama tofauti na Binadamu Kabisa.
 
Sisi tutakufa tu pesa ya kwenda kutibiwa Marekani ipo wapiiii yaan huyu mnyama mnajitahid kumsafishaaaa

Mama najua na wewe huwa unamkubali kiana sema ndo vile tena mambo ya sharia yanabana!!
 
Ngoja waje wahusika upande wa pili naona comment zote ni za upande wa kwanza.
 
Sikulifahamu hili jambo kuwa zile nyuzi hutokana na nguruwe. Kuna sababu zozote why ngurue na sio kondoo wala myama mwingine yeyote yule?

inasemekana utumbo wa nguruwe na wabinadam unafanana sana
 
Sisi tutakufa tu pesa ya kwenda kutibiwa Marekani ipo wapiiii yaan huyu mnyama mnajitahid kumsafishaaaa

Ma dr wenye akili wanaangalia namna gani mnyama wetu adhimu atasaidia kuokoa maisha yetu. Nguruwe ni msafi sana haitaji kusafishwa
 


Hii nn sasa umeweka hapa? Hizi ni hadithi za mtume ama nn? Halafu hauogopi kuweka hayo maandishi yanayotoka kulia kwenda kushoto kwenye thread ya mnyama muhimu kwa maisha ya mwanadamu?
 
dah! huo moyo ungerostiwa kwanza ndio aekewe binadamu!" ........... unashushia na castle baridiiii!"
 
hapo sasaa utakubali kufaa ama kupona kwa kuwekewa moyo wa kitimoto?

Kwa sisi w/me hakuna tatizo! But kwa itakuwa mtihani kidogo, coz ukiekewa moyo wa kitimoto utapenda kama kitimoto! Na kitimoto akiwashwa tu anakunwa na yoyote! Teh teh teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…