Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo moyo tu, hata nyuzi za kushonea wakati wa operesheni zinatengenezwa kutokana na utumbo wa nguruwe. Nyuzi hizo hazitolewi bali hubadilika kuwa nyama kidonda kikipona.
Nguruwe atakwenda hivyo hivyo ni Haramu kama alivyoharamishwa kwa Dini Zote 3 Dini ya Waislam WAkristo na Dini ya wayahuıdi hata wafanye vipi hao wanasayansi Bado Nguruwe atakuwa ni haramu maneno ya Mwenyeezi Mungu hayawezi kubadilika kamwe mpaka mbingu na nchi itakapo toka Maneno yake Mwenyeezi Mungu yatabaki hivyo hivyo tu Nguruwe ni Haramu.Wataalam nchini marekani kwa mara nyingine tena wamethibitisha umuhimu wa nguruwe kwa maisha ya mwanadamu pale majaribio yao ya moyo wa nguruwe waliomuwekea nyani kuonesha pasi na wasi kuwa unaweza kumsaidia nyani kuishi tena. Mafanikio hayo yanatafsiriwa kuwa ni hatua muhimu katika kusaidia kuokoa maisha ya wanadamu ambao watakuwa wakihitaji kuwekewa moyo baada ya mioyo yao kuwa na matatizo.
Hayo yalitangazwa na jopo la madaktari katika kituo cha USA cha National Heart, Lung and Blood Institute huko Bethesda, Maryland wakiiongozwa na Dr. Muhammad Mohuiddin.
Haya sasa wale wasiompenda mnyama muhimu kwa maisha ya mwanadamu kazi kwenu....muoneni Dr wa ukweli mwenye jina lake hapo anavyofanya kazi yake bila kinyongo:roll:
View attachment 156762
Soma zaidi hapa: BBC - Future - Would you accept a pig?s heart?
Hujakosea Nyani na nguruwe wote ni wanyama tofauti na Binadamu Kabisa.sijui ni mimi nakosea?? ila nguruwe kama mammal ana mfumo kama wa binadamu na nyani na tofauti iko lkn ni ndogo sana na hii hasa ipo kwenye mfumo wa akili na sauti. na hapa tunaanza kutofautiana kutoka kwenye genus
Sisi tutakufa tu pesa ya kwenda kutibiwa Marekani ipo wapiiii yaan huyu mnyama mnajitahid kumsafishaaaa
Mama najua na wewe huwa unamkubali kiana sema ndo vile tena mambo ya sharia yanabana!!
Sikulifahamu hili jambo kuwa zile nyuzi hutokana na nguruwe. Kuna sababu zozote why ngurue na sio kondoo wala myama mwingine yeyote yule?
Kama kula tu ni haramu
Je kuwekewa ndo itakuwa halal I?
hapo sasaa utakubali kufaa ama kupona kwa kuwekewa moyo wa kitimoto?