Moyo wangu umeangukia wanawake watatu humu na wote wamenikataa

Moyo wangu umeangukia wanawake watatu humu na wote wamenikataa

Labda uweke kapicha mkuu,labda wataweza badili Mawazo u know!??Halafu Mfano wote watu wangeingia kingi ingekuwaje mkuu?Kama nakuonaa.
 
Herini ya Easter kwa wale mnaosheherekea

Mimi ni mwanaume ambaye nimekuwa sina bahati tuite hivyo
Nna miaka 40, miaka kama 13 nyuma nliwahi kuwa na mahusiano yaliyozaa watoto wawili wa kike mapacha brianca na bianca,

Bahati mbaya tulitofautiana na mama watoto tukaachana katika process za kupeleka mahari, kumbe alikuwa na jamaa ambaye allikuja kuleta mahari kabla yangu na sikujua na wakati huo ana ujauzito wa watoto wangu,

Basi katika yote kufupishwa hatukuweza kuendelea alifungua aknletea Watt wa miezi sita na yeye kwenda kuolewa ,na hapo nkaapa katukatu staki mke tena,

Lakini wadau nmekaa miaka yote hiyo sikutaka kabisa hadithi za kuoa, ila kwa sasa naona umuhimu wa kuoa nmepona majereha kabisa,
Wanangu nipo nao wanaelewa na mama mzazi,

basi katika hivyo, hapa if nmewafuata wanawake kama watatu inbox na wote wakanitolea nje To yeye Winnone hopeUrassa wanafahamu hili

kosa langu ni lipi? Nna kipato cha kati, ni muajiriwa naweza kutunza familia , nacho hitaji kwa sasa ni mke serious wa kujenga familia

maokoto yapo ila sio uforce , uwe na staha unapoomba ,sihitaji starehe ya Mwanamke kwa muda ,nataka nimmiliki,,,
ASANTENI
Sasa hao uliowataja ndiyo waliokutolea nje au ndiyo wanafahamu kwa undani habari za kukataliwa kwako?
Yote kwa yote hukufanya vyema kuwataja hao uliowataja.
 
afu iv member since Mar 30 manake nn kwa mliosoma!?
 
Winnone mdogo wangu kumbe umepata mume wa kukuoa na hujaniambia dada ako nikuwekee kitchen party [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23] dada huyo ni mim kweny i'd nyingne nimeamua kujipromo tu
 
Back
Top Bottom