Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
TRA ikisema ikusanye fedha zinazoibiwa kama CAG alivyosema, itakusanya hela nyingi kuliko hizi wanazokimbizana na Wafanyabiashara huku barabarani.
Na Dkt Mwigulu Nchemba akisema aache Safari zake za nje za kwenda kutafuta mikopo himilivu,then afuatilie hela za mashirika yanayojiendesha kwa hasara, atakusanya hela nyingi kuliko za wazungu na hatutakua na madeni ya Taifa himilivu.
Ila hizi taarifa za wizi wizi hata wakati JPM yupo hai Bado kulikua na upigaji tu, Kuna nyakati gari la dawa za MSD enzi za JPM lilionekana limekwama darajani na dawa za mabilioni na hazijafika mpaka leo.
Hizi ni enzi za JPM, Tena Kuna kipindi trillion 1.5 ilikua haijulikani ilipo enzi za JPM mkali, vipi kuhusu mama 😁?
Haya maisha bana usiige mtu kujenga jumba la kifahari ama kanunua gari Kali ukasema " ,na Mimi nifanye kazi Kwa bidii" ,kumbe mwenzio ndege ya bilioni 40 kaandika inatakiwa bilioni 86, hizi bilioni 46 anazipiga kiulaini kabisa wakati wewe na mshahara wako wa laki tatu unaota ndoto za kumiliki Mali kama zake .
" kuanzia leo mie sie mzalendo na nasema sitolipa kodi na niyaharibu kila kitu cha nchi hii"