Moyo jamani moyo!!!
Mwenzenu nimetokea kumpenda Dreva wa Bodaboda hadi najisikia akili inadundadunda.
N mwanamme mpole, ana kamzuzu kwa mbali, mweusi, mnene kiasi, mrefu, akicheka ana kamwanya fulani hivi, jaman jamani mie yaani natamani kila mara nimuone tu japo kwa mbali.
Nimefanya upelelezi wangu, ni miongoni mwa wale watumishi waliopata dhahama ya vyeti feki.
Na yeye ananipenda ila hajawa direct. Jamani moyo huuu.
Nimewaza zawadi ya kumpa ili kuonesha nampenda ila bado sijafikia maamuzi sahihi. Nawaza nikamnunulie yale makoti yao mazito kama manne hivi, au nimnunulie boxer, au nimnunulie kadi.
Hebu nishaurini nimnunulie nini mimi huyu ndugu anayeutesa moyo wangu kama ishara ya kumuonesha kuwa nimekufa na kuoza hadi kunuka juu yake.
MBITIYAZA msaada mwenzio niko hoi kwa bodaboda