Jay27
Senior Member
- Mar 14, 2018
- 153
- 174
na mimi nilikuwa na swali kama lako mkuuBoxer ya kuvaa??
Au
Boxer pikipiki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na mimi nilikuwa na swali kama lako mkuuBoxer ya kuvaa??
Au
Boxer pikipiki?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ebu ngoja nianze kuendesha bodaboda, pengine naweza nyakua huo mtima wako...tehteehh
ok sawa jaribu kumtongozaMoyo jamani moyo!!!
Mwenzenu nimetokea kumpenda Dreva wa Bodaboda hadi najisikia akili inadundadunda.
N mwanamme mpole, ana kamzuzu kwa mbali, mweusi, mnene kiasi, mrefu, akicheka ana kamwanya fulani hivi, jaman jamani mie yaani natamani kila mara nimuone tu japo kwa mbali.
Nimefanya upelelezi wangu, ni miongoni mwa wale watumishi waliopata dhahama ya vyeti feki.
Na yeye ananipenda ila hajawa direct. Jamani moyo huuu.
Nimewaza zawadi ya kumpa ili kuonesha nampenda ila bado sijafikia maamuzi sahihi. Nawaza nikamnunulie yale makoti yao mazito kama manne hivi, au nimnunulie boxer, au nimnunulie kadi.
Hebu nishaurini nimnunulie nini mimi huyu ndugu anayeutesa moyo wangu kama ishara ya kumuonesha kuwa nimekufa na kuoza hadi kunuka juu yake.
MBITIYAZA msaada mwenzio niko hoi kwa bodaboda
Dah...umeshaanza tayari..[emoji13] [emoji13]Moyo jamani moyo!!!

hahha, mie nampenda tu yeye sio kwa ajili ya huo "usafiri" tehe teheSiku ukijua bodaboda sio yake ulete mrejesho
Mtani siamini umeanguka kwa bodaboda..kweli mapenzi pofu
NB: SIMAANISHI KUWA BODABODA HAWARUHUSIWI KUPENDWA
ayaaaaaaaaaaaaaaaa, kumbe nimekuwekea siledi na wewe umo humu, hahahahahahahaNinunulie Koti
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😀😀😀😀😀😀Ebu ngoja nianze kuendesha bodaboda, pengine naweza nyakua huo mtima wako...tehteehh
hhahahah, Baba la Kinyamwezi, linanitesa moyo wangu hakika, hahahahahahaMpe papa maana inawezekana anapendaga samaki kama sisi waathu.
tehe teehe tehee tehee tehee tehe hahahahaahhaDah...umeshaanza tayari..[emoji13] [emoji13]
Mwenzi wangu ana VVU, mie sina
tehe teehe tehee tehee tehee tehe hahahahaahhaDah...umeshaanza tayari..[emoji13] [emoji13]
Mwenzi wangu ana VVU, mie sina
eheeeeeeeeeeeeee!!!!!Umenitaja...Kosa nililofanya ni kukuambia kazi yangu ya kabla na hii ilitokana na kutumia shortcut kupata kipato.. Sasa zawadi yangu umenipe tu kama ile ya Sikamona.
[emoji476] [emoji476] [emoji476] [emoji476]Mwambie kwanza kama limoyo limemdondokea sasa hivi kama mtu unayempenda hatoi ushirikiano mtongoze mwenyewe
MTUNUKU VYOTE UNAVYOWEZAhahahahahahahaahahah. Sasa nimpe zawadi gani jamani huyu kaka wa Kinyamwezi?