Dr Guitar tz
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 312
- 247
MPE Pesa atanunua mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada sasa kuna haja ya kufanya mipango uondoke huko kwa wasukuma urudi huku kaskazini angalau hata arusha amabapo ni karibu na nyumbani, maana sasa wanitia shaka mimi kaka yako, kipindi kile Ulikoswa koswa kulambwa na yule mvuta bangi ambae sasa kawa mzee wa kanisa tukasema ni bahati mbaya tu, sasa huyu mtu wa boda boda nae. Alafu hayo mambo ya kupakia mi bodaboda ya nini? si utafute hata ka vits tu? Ina bidi hili tutadili kwa mapana na marefu.hhahahah, Baba la Kinyamwezi, linanitesa moyo wangu hakika, hahahahahaha
Embu akuoe ukae nae kamwezi tu AF ndio ujiakikishie ulichopendea..hahha, mie nampenda tu yeye sio kwa ajili ya huo "usafiri" tehe tehe
Mtumie kukut***ba tu, maana anao wengine anawapakiaga kama wewe.Moyo jamani moyo!!!
Mwenzenu nimetokea kumpenda Dreva wa Bodaboda hadi najisikia akili inadundadunda.
N mwanamme mpole, ana kamzuzu kwa mbali, mweusi, mnene kiasi, mrefu, akicheka ana kamwanya fulani hivi, jaman jamani mie yaani natamani kila mara nimuone tu japo kwa mbali.
Nimefanya upelelezi wangu, ni miongoni mwa wale watumishi waliopata dhahama ya vyeti feki.
Na yeye ananipenda ila hajawa direct. Jamani moyo huuu.
Nimewaza zawadi ya kumpa ili kuonesha nampenda ila bado sijafikia maamuzi sahihi. Nawaza nikamnunulie yale makoti yao mazito kama manne hivi, au nimnunulie boxer, au nimnunulie kadi.
Hebu nishaurini nimnunulie nini mimi huyu ndugu anayeutesa moyo wangu kama ishara ya kumuonesha kuwa nimekufa na kuoza hadi kunuka juu yake.
MBITIYAZA msaada mwenzio niko hoi kwa bodaboda
Unapenda sana ndito za saa 12 jioni!!!Moyo jamani moyo!!!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87]He he he he he
kwa ulivyomsifia aisee, utatufanya wote tugeukie tuwe madereva boda boda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wakati wa kulea watoto usije kuanzisha thread za kuchukia wanaume
hahahahaahhhaahha, ushauri mzuri sana huu shost hahahahahahahahahahMwambie kwanza kama limoyo limemdondokea sasa hivi kama mtu unayempenda hatoi ushirikiano mtongoze mwenyewe
Salama kabisa aiseeehahahah, upo! habari za siku ndugu yangu?
tehe tehe tehe teheMTUNUKU VYOTE UNAVYOWEZA
Eeenh mtongoze shost mambo ya kusubiri kutongozwa haya yashapitwa na wakati mwisho wa siku utakuta mdada kamganda huku unabaki kufyonza na kutukana kwa hasirahahahahaahhhaahha, ushauri mzuri sana huu shost hahahahahahahahahah
sasa cha kufia nini kwanitehe tehe tehe tehe
Dadake nakusalimia tuEeenh mtongoze shost mambo ya kusubiri kutongozwa haya yashapitwa na wakati mwisho wa siku utakuta mdada kamganda huku unabaki kufyonza na kutukana kwa hasira
Sijambo kaka habari yakoDadake nakusalimia tu
Njema dadakeSijambo kaka habari yako