Moyo wangu 'umemdondokea' huyu dreva wa Bodaboda

Moyo jamani moyo!!!

Mwenzenu nimetokea kumpenda Dreva wa Bodaboda hadi najisikia akili inadundadunda.
N mwanamme mpole, ana kamzuzu kwa mbali, mweusi, mnene kiasi, mrefu, akicheka ana kamwanya fulani hivi, jaman jamani mie yaani natamani kila mara nimuone tu japo kwa mbali.

Nimefanya upelelezi wangu, ni miongoni mwa wale watumishi waliopata dhahama ya vyeti feki.

Na yeye ananipenda ila hajawa direct. Jamani moyo huuu.

Nimewaza zawadi ya kumpa ili kuonesha nampenda ila bado sijafikia maamuzi sahihi. Nawaza nikamnunulie yale makoti yao mazito kama manne hivi, au nimnunulie boxer, au nimnunulie kadi.

Hebu nishaurini nimnunulie nini mimi huyu ndugu anayeutesa moyo wangu kama ishara ya kumuonesha kuwa nimekufa na kuoza hadi kunuka juu yake.

MBITIYAZA msaada mwenzio niko hoi kwa bodaboda
Njoo uninulilie mm hvyo vitendea kazi nitakuwa nakuletea hesabu kila wiki bila kukosa...

Utapata faida,nakuhakikishia hutokaa ujutie,kama nikamzuzu na mm pia ninako utakuwa unakaona kila nikikuletea hesabu...
 
Moyo jamani moyo!!!

Mwenzenu nimetokea kumpenda Dreva wa Bodaboda hadi najisikia akili inadundadunda.
N mwanamme mpole, ana kamzuzu kwa mbali, mweusi, mnene kiasi, mrefu, akicheka ana kamwanya fulani hivi, jaman jamani mie yaani natamani kila mara nimuone tu japo kwa mbali.

Nimefanya upelelezi wangu, ni miongoni mwa wale watumishi waliopata dhahama ya vyeti feki.

Na yeye ananipenda ila hajawa direct. Jamani moyo huuu.

Nimewaza zawadi ya kumpa ili kuonesha nampenda ila bado sijafikia maamuzi sahihi. Nawaza nikamnunulie yale makoti yao mazito kama manne hivi, au nimnunulie boxer, au nimnunulie kadi.

Hebu nishaurini nimnunulie nini mimi huyu ndugu anayeutesa moyo wangu kama ishara ya kumuonesha kuwa nimekufa na kuoza hadi kunuka juu yake.

MBITIYAZA msaada mwenzio niko hoi kwa bodaboda
Njoo inbobo tuyajenge
 
Boxer unayomaanisha hapo ni pikipiki au ile nguo ya ndani?
 
NAHUJA njoo kwanza pm !tuma namba yake na picha@!'nisaminishe"!tafadhari sana sana !naomba niwe mshengaaa!maana kwa vigezo hvyo asalaaale!

fanya hima!
NB.KKW
 
Eeenh mtongoze shost mambo ya kusubiri kutongozwa haya yashapitwa na wakati mwisho wa siku utakuta mdada kamganda huku unabaki kufyonza na kutukana kwa hasira
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom