Moyo wangu unagoma kuamini kwamba Ben Saanane na Azory Gwanda sitawaona milele

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kimsingi akili mwili na roho yangu vinagoma kuamini Ben sanane na Azory gwanda sitawaona milele Yani siamini kabisaaaa.

Mpaka kesho nitajiuliza kwanini Mungu amewatwaa watu Hawa Kama nabii eliya?

Au hii inanivutia niamini kwamba hata bibilia iliandikwa kwa misingi hi?

Pengine nabii eliya nayeye alipotea kwenye mazingira haya ya Ben sanane na Azory gwanda ndio maana walioandika biblia waliamua kuweka shotkat?

Kitendawili hiki Cha Ben na Azory ipo siku kitateguliwa !!

Siku hazigandi!! Hata ya lisu bado yako moyoni .

Mambo yote haya yatakuja kulipuka Kama mlima Vesuvius kule pompeii Italia!!
 
Mwili wa mtu kupotea katika mazingira ya ajabu Karne ya 21 bila kujulikana popote sio Jambo la kawaida acheni tuhoji mpaka watesi wasikie Kama ni Mungu aliwatwaa watu Hawa kimiujiza tujue ila kamwe hatutaacha kutumia platform huru Kama hizi kuwaulizia watu Hawa Mimi ningekuwa mbowe nisingekaa kimya mpaka waniuwe!
 
Siku zikipatikana taarifa sahihi juu ya watu hawa ama wapo hai au laa itakuwa ni siku mbaya kwenye historia ya siasa za 21thC nchi hii


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
Na yote yanayoonekana ni ushujaa wa awamu hii yatafunikwa na Ben Azory na Lisu ipo siku.
 
Ilivyo ngumu kumlinda mateka!
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliusoma huu Uzi kikore inauma Sana!!
 
Mtu huyu mwenye rekodi ya mwanamkakati wa Pm-7 alizaliwa 13/12/1983
Mkuu Tutashinda, kauli huumba, na lisemwalo lipo kama halipo, linakuja!.
Angalia heading ya bandiko lako hili, na tarehe ya bandiko hili, halafu angalia nini kilikuja kutokea kwa Ben Saanane.


Wana jf tuanze kujifunza kuchunga kauli zetu, kauli nyingine zinaumba, ukisema mwisho wa fulani, bila hata wewe kumaanisha ni mwisho kwa kutoweka, kwenye heading ulisema

"ben-saanane-mwisho-wake-umefika-rasmi",
Wewe bila kujua kuwa kauli hii ina powers, baada ya kutolewa bila kuwekewa any caveat ya mwisho wa nini, then powers zimeanza ku act kuutengeneza mwisho wa Ben.

Maadam kwenye bandiko hili, ulidhamiria mwisho wa Ben Saanane ni mwisho kwenye uchaguzi wa Bavicha, then the headline yako should have said so, " Ben Saanane Mwisho Wake Kugombea Bavicha Umefika Rasmi " ili zile powers za kauli yako iwe limited kwa Bavicha tuu, kitendo cha kutoa open ended statements bila kinga, ndicho kimepelekea kuchangia kufika mwisho kwa Ben Saanane.

Kwenye bandiko hili mimi pia nilichangia
From no where, jana nimetokea tuu kumkumbuka Ben Saanane, sikujua kwanini, hivyo nilipoamka nikaanza kupitia baadhi ya mabandiko humu ndipo nikakutana na bandiko hili la 2014, nilipolisoma ndipo nikagundua kumbe jana ndio tarehe ya kuzaliwa ya Ben Saanane.
Happy Birthday Ben Saanane.
P
 
Kuna watu wengine ni wanafiki sana. Wanajifanya wanawalilia eti waonekane huku nafsi zao hazitaki waopatikane ili wapate cha kuandika kila siku na kuilaumu serikali. Wakati Babu Seya na wanae wako jela kwa unafiki wa hali ya juu, mliwalilia kila siku. Walipoachiwa mkaanza kuwaponda na kuwakejeli. Kisa mmekosa cha kuilaumu serikali. Ninapenda sana Ben Saanane na Azory Gwanda warudi ili wathibitishe unafiki wenu!
 
Kama Ben na Azory wako hai Basi tujue jpm atakuja kuwatumia kama turufu ya kisiasa!!!Lakin imeshathibitishwa kabisa kwa kauli zenye utata kama za Kabudi na majaliwa kuwa jamaa walisha disappear and died!!!!LABDA MODES WANGEUACHIA UZI WA MKUU BARAFU KUHUSU GEREZA LA MKAMIRA TUNGEPATA FOOD FOR THOUGHT!!!!lakini jinsi ilivyongumu kumlinda mateka!!!Mshanar jr amemaliza kabisa!!!
 
Mbowe keshaomba maridhiano bila kujali yt hayo including ya lisu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…