Moyo wangu unagoma kuamini kwamba Ben Saanane na Azory Gwanda sitawaona milele

Moyo wangu unagoma kuamini kwamba Ben Saanane na Azory Gwanda sitawaona milele

Mauaji 13:1-20 Iaminishe jamii kuwa wahusika wameshakufa ikisha amini basi wamalize hata kama wapo hai!!kwani wakirudi wakiwa hai na uliiaminisha jamii kuwa wameshakufa utazua taharuki ambayo itakudhuru we mwenyewe!!!
 
Naomba Uzi huu usiunganishwe na wowote modes.

Kimsingi akili mwili na roho yangu vinagoma kuamini Ben sanane na Azory gwanda sitawaona milele Yani siamini kabisaaaa.

Mpaka kesho nitajiuliza kwanini Mungu amewatwaa watu Hawa Kama nabii eliya?

Au hii inanivutia niamini kwamba hata bibilia iliandikwa kwa misingi hi?

Pengine nabii eliya nayeye alipotea kwenye mazingira haya ya Ben sanane na Azory gwanda ndio maana walioandika biblia waliamua kuweka shotkat?

Kitendawili hiki Cha Ben na Azory ipo siku kitateguliwa !!

Siku hazigandi!! Hata ya lisu bado yako moyoni .

Mambo yote haya yatakuja kulipuka Kama mlima Vesuvius kule pompeii Italia!!

Modes tendeni haki kwa kuacha nyuzi za watu ziishi!!
Na Daud Balali je?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa tutakutana nao Mbinguni. Kila wakitajwa wakikumbukwa Moyo wangu unakaa Simanzi na Kilio. Kipekee Kijana mdogo tuu mwanafunzi wa Chuo Ben Saanane. I wish ningejaliwa "Divine Power" ya kutengeu kitendawili cha wapi walipo. Anyway kama Ben Ulishakufa Rest In Peace.
 
Mkuu Tutashinda, kauli huumba, na lisemwalo lipo kama halipo, linakuja!.
Angalia heading ya bandiko lako hili, na tarehe ya bandiko hili, halafu angalia nini kilikuja kutokea kwa Ben Saanane.

Wana jf tuanze kujifunza kuchunga kauli zetu, kauli nyingine zinaumba, ukisema mwisho wa fulani, bila hata wewe kumaanisha ni mwisho kwa kutoweka, kwenye heading ulisema

"ben-saanane-mwisho-wake-umefika-rasmi",
Wewe bila kujua kuwa kauli hii ina powers, baada ya kutolewa bila kuwekewa any caveat ya mwisho wa nini, then powers zimeanza ku act kuutengeneza mwisho wa Ben.

Maadam kwenye bandiko hili, ulidhamiria mwisho wa Ben Saanane ni mwisho kwenye uchaguzi wa Bavicha, then the headline yako should have said so, " Ben Saanane Mwisho Wake Kugombea Bavicha Umefika Rasmi " ili zile powers za kauli yako iwe limited kwa Bavicha tuu, kitendo cha kutoa open ended statements bila kinga, ndicho kimepelekea kuchangia kufika mwisho kwa Ben Saanane.

Kwenye bandiko hili mimi pia nilichangia

From no where, jana nimetokea tuu kumkumbuka Ben Saanane, sikujua kwanini, hivyo nilipoamka nikaanza kupitia baadhi ya mabandiko humu ndipo nikakutana na bandiko hili la 2014, nilipolisoma ndipo nikagundua kumbe jana ndio tarehe ya kuzaliwa ya Ben Saanane.
Happy Birthday Ben Saanane.
P

Mkuu sipingi kuwa kauli huumba na zina nguvu sana lakini napingana na wewe unavyoihusisha hiyo thread na mwisho wa Ben. Huyo aliyetoa hiyo thread hana nguvu kiasi hicho kwamba mamlaka zishindwe kumdaka.
 
Binafsi huwa nasononeshwa sana na hawa watu kila nikifikiria walifanyiwa/wanafanyiwa nini mpaka sasa kama wapo, nazifikiria familia zao zinajisikiaje sipati picha, kama mimi roho inaniuma kiasi hiki mtu wa mbali kbs vipi wao wenye damu zao?
Kama hawatalipwa wao walioutenda unyama huu basi vitlipwa vizazi vyao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lkn kama hawa jamaa watakuwa liquidated kwa hali yoyote ile, kuna gharama fulani kuna watu lazima watalipa, haitajalisha walikuwa na vyeo gani wakati wanatenda uhalifu na malipo sio lazima yafanywe na mwanadamu tu. Time will tell.
 
Mkuu sipingi kuwa kauli huumba na zina nguvu sana lakini napingana na wewe unavyoihusisha hiyo thread na mwisho wa Ben. Huyo aliyetoa hiyo thread hana nguvu kiasi hicho kwamba mamlaka zishindwe kumdaka.
Mkuu Mvuv, wewe kama binaadam, huna uwezo wa kujua kauli ya nani ina nguvu na kauli ya nani haina nguvu kwasababu nguvu za kauli sio zetu ni zake YEYE Atutiaye nguvu.
P
 
Kampangie mama yako malengo unajuaje kwamba kuwaona Ben na Azory sio sehemu ya malengo yangu!?

Unawajua. Umejibu kama mvuta bangi na kwa jazba. Aina ya watu kama wewe ndo wauaji na watekaji. Mambo hayawagi simple namna hiyo. Toka lini mtesi wako akutumie sms ya vitisho ili upate na muda wa kuwaambia watu natishiwa. Atakuwa jinga la mwaka. Na pili bwana mkubwa huyo mwingine si wa kule Pwani ambako walikufa wengi sana na watu kama nyie mkashangilia bila hata chembe ya Aibu. Mkiweka uchama uchwara mbele badala ya utanzania. Sasa vipi huyu mmoja tu. Ambaye at least hata Mwili haujulikani. Kama mliweza shangilia Kwanini msiweze kufanya haya kwa ajili ya kuchafua Serikali. It’s more plausible than the other way around.
 
usimchezee chatuu..ooohh chatuu ×5

kuna wanadamu wakali na wakatili kama fisii..

Mabwepande kwa yule Daktari alitusimulia vyema..Na imagine kwa akina azori na SAA 8 hao jamaa katili hawakurudia kosaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwili wa mtu kupotea katika mazingira ya ajabu Karne ya 21 bila kujulikana popote sio Jambo la kawaida acheni tuhoji mpaka watesi wasikie Kama ni Mungu aliwatwaa watu Hawa kimiujiza tujue ila kamwe hatutaacha kutumia platform huru Kama hizi kuwaulizia watu Hawa Mimi ningekuwa mbowe nisingekaa kimya mpaka waniuwe!
. 😀😀😀 Mpaka wamuuwe unadhani mbowe ni yesu?
 
Kimsingi akili mwili na roho yangu vinagoma kuamini Ben sanane na Azory gwanda sitawaona milele Yani siamini kabisaaaa.

Mpaka kesho nitajiuliza kwanini Mungu amewatwaa watu Hawa Kama nabii eliya?

Au hii inanivutia niamini kwamba hata bibilia iliandikwa kwa misingi hi?

Pengine nabii eliya nayeye alipotea kwenye mazingira haya ya Ben sanane na Azory gwanda ndio maana walioandika biblia waliamua kuweka shotkat?

Kitendawili hiki Cha Ben na Azory ipo siku kitateguliwa !!

Siku hazigandi!! Hata ya lisu bado yako moyoni .

Mambo yote haya yatakuja kulipuka Kama mlima Vesuvius kule pompeii Italia!!
Karma imetenda haki
 
Jiwe wakati anamtishia lisu alisema namnukuu. "Tumepekuwa mpaka meseji zake na kuprint this is gavament"
 
Back
Top Bottom