Moyo wangu unagoma kuamini kwamba Ben Saanane na Azory Gwanda sitawaona milele

Mauaji 13:1-20 Iaminishe jamii kuwa wahusika wameshakufa ikisha amini basi wamalize hata kama wapo hai!!kwani wakirudi wakiwa hai na uliiaminisha jamii kuwa wameshakufa utazua taharuki ambayo itakudhuru we mwenyewe!!!
 
Na Daud Balali je?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa tutakutana nao Mbinguni. Kila wakitajwa wakikumbukwa Moyo wangu unakaa Simanzi na Kilio. Kipekee Kijana mdogo tuu mwanafunzi wa Chuo Ben Saanane. I wish ningejaliwa "Divine Power" ya kutengeu kitendawili cha wapi walipo. Anyway kama Ben Ulishakufa Rest In Peace.
 

Mkuu sipingi kuwa kauli huumba na zina nguvu sana lakini napingana na wewe unavyoihusisha hiyo thread na mwisho wa Ben. Huyo aliyetoa hiyo thread hana nguvu kiasi hicho kwamba mamlaka zishindwe kumdaka.
 
Binafsi huwa nasononeshwa sana na hawa watu kila nikifikiria walifanyiwa/wanafanyiwa nini mpaka sasa kama wapo, nazifikiria familia zao zinajisikiaje sipati picha, kama mimi roho inaniuma kiasi hiki mtu wa mbali kbs vipi wao wenye damu zao?
Kama hawatalipwa wao walioutenda unyama huu basi vitlipwa vizazi vyao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lkn kama hawa jamaa watakuwa liquidated kwa hali yoyote ile, kuna gharama fulani kuna watu lazima watalipa, haitajalisha walikuwa na vyeo gani wakati wanatenda uhalifu na malipo sio lazima yafanywe na mwanadamu tu. Time will tell.
 
Mkuu sipingi kuwa kauli huumba na zina nguvu sana lakini napingana na wewe unavyoihusisha hiyo thread na mwisho wa Ben. Huyo aliyetoa hiyo thread hana nguvu kiasi hicho kwamba mamlaka zishindwe kumdaka.
Mkuu Mvuv, wewe kama binaadam, huna uwezo wa kujua kauli ya nani ina nguvu na kauli ya nani haina nguvu kwasababu nguvu za kauli sio zetu ni zake YEYE Atutiaye nguvu.
P
 
Kampangie mama yako malengo unajuaje kwamba kuwaona Ben na Azory sio sehemu ya malengo yangu!?

Unawajua. Umejibu kama mvuta bangi na kwa jazba. Aina ya watu kama wewe ndo wauaji na watekaji. Mambo hayawagi simple namna hiyo. Toka lini mtesi wako akutumie sms ya vitisho ili upate na muda wa kuwaambia watu natishiwa. Atakuwa jinga la mwaka. Na pili bwana mkubwa huyo mwingine si wa kule Pwani ambako walikufa wengi sana na watu kama nyie mkashangilia bila hata chembe ya Aibu. Mkiweka uchama uchwara mbele badala ya utanzania. Sasa vipi huyu mmoja tu. Ambaye at least hata Mwili haujulikani. Kama mliweza shangilia Kwanini msiweze kufanya haya kwa ajili ya kuchafua Serikali. Itโ€™s more plausible than the other way around.
 
usimchezee chatuu..ooohh chatuu ร—5

kuna wanadamu wakali na wakatili kama fisii..

Mabwepande kwa yule Daktari alitusimulia vyema..Na imagine kwa akina azori na SAA 8 hao jamaa katili hawakurudia kosaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Mpaka wamuuwe unadhani mbowe ni yesu?
 
Karma imetenda haki
 
Jiwe wakati anamtishia lisu alisema namnukuu. "Tumepekuwa mpaka meseji zake na kuprint this is gavament"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ