Moyo wangu unaugua kwa ajili ya raia wa Afghanistan

Moyo wangu unaugua kwa ajili ya raia wa Afghanistan

Wale km urus na USA kuingilia kati yangeshachinja watu wote
Hii dini gani inayoruhusu watu wauawe?
Uzuzu na ujinga kabisa, wale wana maisha yao, ghafla US kaingia na kuleta zao za demokrasia kumbe wana yao, huwezi ingia boma ya mtu na kulazimisha mila, desturi na utamaduni wa mtu, safi Taliban, Afghanistan imerudi kwa wenyewe..
 
Yale magaidi yanayoua kwa mgongo wa dini ni sawa?
Ungeyajua yaliyo nyuma ya pazia....ungewachukia hao wamarekani maisha yko yote.

Wamarekani wapo vzuri kwa kutengeneza skendo/propaganda...ata movies zao wewe unazionaje kwanza?

Rejea kwa gadafi...
 
Anayoyakoroga lazima ayanywe.....ulitaka ayanywe mchina ama mrusi wakati anaeyakoroga ni mwengine
Wanaoteseka ni watu wasio na hatia. Kumbuka ni wahanga wa imani ya kishetani ambayo inadaiwa kupiganiwa kwa mapanga na watu baradhuli, wabakaji, wauaji na waongo. Hawajawahi kuambiwa wachague nini kinawafaa. Watu hawa wanahitaji kuthaminiwa utu wao na ha ki zao za kuishi kama binadamu. Hakuna binadamu yeyote aliye na thamani zaidi ya mwingine.
Ni roho za shetani ndizo huwaingia watu kadhaa wakajiona wao ni binadamu zaidi ya wengine, kiasi cha kujimilikisha haki za kuishi na kuondo uhai wa wengine. Mungu aliumba watu wote kwa mfano na kuwa sura yake.

Hawa binadamu wamestahilishwa haya na hili genge na wahuni wa mudy.
 
Huyu mtu hajitambua achana naye. Kila ujinga ukifanywa, ni marekani. Mtu mpumbavu akikushauri upumbavu na akijua kwamba unajua ni upumbvu , ukaukubali, atakudharau sana. Nidyo sababu dunia inaawdharau sana hawa watu.
Yale magaidi yanayoua kwa mgongo wa dini ni sawa?
 
Unakosea Sana mkuu,
Hii SIO kauli ya kusemwa na Mtu anayejiheshimu.
Kujiheshimu ni kufanya nini? Kujiheshimu ni kubariki uharamia dhidi ya maisha ya binadamu? Kujiheshimu ni kuwa mnafiki na kuacha shetani anaangamiza watu wasio na hasira? Narudia kusema "na alaaniwe".

Mungu ndiye anayelaani miungu. Unataka kusema naye hajiheshimu? Chunga sana baraka zako unazipeleka wapi.
 
Waarabu ni matahira hayana tofauti na Waafrika yanatumika kama toilet paper,mbona kuna Nchi nyingi za ulaya zina resources nyingi lakini hazina vikundi vya ugaidi.
 
Hao Taleban ni kikundi kinachomilikiwa na wauza silaha waliopo Marekani, lengo ni kuhakikisha USA inakuwa na heavy military budget ili wapige mpunga, 9/11 lengo lilikuwa ni hilo hilo tu, wauze silaha kwa serikali ya USA, mbona liko wazi?
 
Tulieni mguswe utumbo mpana yakheeeee.
 
Wanaoteseka ni watu wasio na hatia. Kumbuka ni wahanga wa imani ya kishetani ambayo inadaiwa kupiganiwa kwa mapanga na watu baradhuli, wabakaji, wauaji na waongo. Hawajawahi kuambiwa wachague nini kinawafaa. Watu hawa wanahitaji kuthaminiwa utu wao na ha ki zao za kuishi kama binadamu. Hakuna binadamu yeyote aliye na thamani zaidi ya mwingine.
Ni roho za shetani ndizo huwaingia watu kadhaa wakajiona wao ni binadamu zaidi ya wengine, kiasi cha kujimilikisha haki za kuishi na kuondo uhai wa wengine. Mungu aliumba watu wote kwa mfano na kuwa sura yake.

Hawa binadamu wamestahilishwa haya na hili genge na wahuni wa mudy.
Hayo mkawaambie hao mabwana zenu wamarekani na wa Israel wanaotaka kuingilia maisha ya watu.......They should mind their own business
 
Siyo wewe wa kwanza kudhihaki. Mwisho wa siku utatambua tu kwa kuwa Mungu hadhihakiwi. Pumbavu pagani lisilomjua Mungu.
Mimi ni Muafrika halisi sitishiki na hao miungu wenu wa kuazima toka kwa hao mabwana zenu
 
Waafrika ni watu wakarimu, tena makini sana kwa asili. Bila shaka wewe ni shetani ndani ya ngozi nyeusi. Sikku yako haiko mbali, pale utakapojua uchawi na ushetwan iwako hauna maana katika maisha. Naona kama naongea na liuaji fualni hivi lililo so much insecure!. Kwenda huko shetani wewe.

Back to sender.. ...hayo utajijua wewe na hio miungu yako ya kukopa kwa mzungu. Tafuta malugaluga wenzio ndo uwatishie huo upimbi wako
 
Ndugu wasomaji, ni nini tunajifunza katika hali hii iliyoko Afghanistan?

Siku zote sijawahi kuwa na imani na unafiki wa watu wanaosema wanatetea dini lakini wakitoa watu kuwa sadaka kwa miungu. Wanalazimishsa kutawala kwa jina lolote lakini si kwa ajli ya watawaliwa.
Hivi utawala wa mabavu, siasa za kuangamiza watu kwa misingi ya dini isiyokubalika, ndio utawala wa shetani?

Moyo wangu unaugua sana kwa ajili ya raia wa Afghanstan. Ninaugua sana. Mungu nakuomba uwakumbuke hawa watoto wako unaowapenda katika nchi ya Afghan. Dunia imeshindwa kuwatetea lakini wewe unaweza. Dunia imeshindwa kuwalinda lakini wewe unaweza. Wametekwa ndani ya eneo ulilowapa na kwa mkono wa adui wa ndani sasa ni mateka. Maisha yao yamejaa mashaka bila tumaini.

MUNGU, KATIKA JINA LA YESU KRISTO ALIYEHAI MILELE, KWA AGANO LA DAMU YA YESU, NAINAOMBA UWAKUMBUKE TAIFA LA AFGHANSTANI. NINAOMBA MUNGU UWAONYESHE UWEPO NA UPENDO WAKO. AHSANTE BABA KWA KUWA UNANISIKIA SIKU ZOTE. KWA JINA LA YESU NIMEOMBA - AMEN

Saudi Arabia, UAE, Qatar, Oman, Kuwait na Bahrain wanapiga kimyaa Kama haiwahusu vile.
 
Back
Top Bottom