Moyo wangu unaugua kwa ajili ya raia wa Afghanistan

Wewe siwezi kutukana Wala kukudhalilisha mitandaoni... Nikujibie kwa upole sbb uislam Ni amani.... Ukitaka elewa usipotaka usielewe.... Kuna tofauti ya uislam na muislam... Hapo juu umeandika mwenyewe kuwa Taliban wanabaka watoto... Sasa nikupe kazi Kama hutojali, tafuta sheikh yoyote muhonge hata helA Mana najua Quran huijui... Mwambie akupe kifungu au Aya yoyote ile kutoka katika Quran inayotaka watu kulala na maiti za Aunt zao au kubaka watoto... Usije na propaganda za mitandaoni kwa kupanic... Kwani Kuna waislamu wangapi huko mtaani wanakula nguruwe??? Kwani uislam umeamrisha Nini kuhusu nguruwe??? Kwahio ukimkuta muislam bar ameagiza kitimoto na pombe utasema huo ndo uislam kwakuwa umemkuta muislam anafanya hivyo???....
HUKO KUTAKUWA NI MATUMIZI MABAYA YA AKILI NA KUTUKOSEA ADABU...
Hio video ya pili kuhusu Muhammad amepost Nani? Mana sisi mtume wetu Muhammad (saww) haku have sex na a six year old girl... Utakuwa wanamzungumzia Muhammad mwingine... Sie huyu niliemsoma na kumtafiti... Sasa kwa sababu una bando la kutafuta vitu negative km hivyo mitandaoni embu jaribu kusoma zaidi kuhusu uislam kutoka kwa waislam wanaopractice uislam wenyewe... Sio unaingia kwenye page za haters Kama wewe halafu unakuja kutema nyongo hapa kwa ufinyu wa maarifa... SIJAKUAMBIA UWE MUISLAM.... HAPANA... NIMEKUAMBIA JARIBU KUTAFITI YALIYO YA KWELI KUHUSU UISLAM... Mimi mwenyewe naweza nikaja na video za kukukera kuhusu mapadri na wachungaji huko makanisani wengine wakiwabusu midomoni waumini wao... Wengine wakiambiwa wavue nguo ndo waombewe, Yani Mambo Ni mengi....
Lakini ili nijitofautishe na wewe wacha nikustahi... Haina msingi Mimi kuweka video hizo hapa sababu sijaona kifungu kwenye biblia kinachoamrisha hayo wanayoyafanya... Hivyo naonaga Ni upotevu tu km upotevu mwingine... Au unataka kuniambia we hizo video hujawahi kuziona??? Unaonaga za waislam tu???... Ukitaka msaada wa mafundisho mbalimbali kuhusu uislam Ni pm tu nikupe namba nijaribu kukuweka sawa. Mana kuingia humu na kujibu jibu hoja naona nachelewa.
JITAFAKARI BASI KAMA MTU MWENYE AKILI... UNLESS KM HUNA AKILI SITOHANGAIKA KUKUJIBU TENA.
 

Hope Serikali ya Taleban wataiweka na kuirudisha nchi katika hali yake. Kuwa na amani mzee. Wale wapumbafu wazungu ndiyo wamesababisha machafuko kwenye ardhi ya wa2, na kusababisha kuuawa kwao.
 

Huna hoja za maana,,,ingependesa ukakaa kimya.
 
Hope Serikali ya Taleban wataiweka na kuirudisha nchi katika hali yake. Kuwa na amani mzee. Wale wapumbafu wazungu ndiyo wamesababisha machafuko kwenye ardhi ya wa2, na kusababisha kuuawa kwao.
Mkuum hawa wapumbavu ndio wamesababisha matatizo Afghan,? Kwa namna gani? V
 
Uzuzu na ujinga kabisa, wale wana maisha yao, ghafla US kaingia na kuleta zao za demokrasia kumbe wana yao, huwezi ingia boma ya mtu na kulazimisha mila, desturi na utamaduni wa mtu, safi Taliban, Afghanistan imerudi kwa wenyewe.

sasa kwanini raia wanakimbia nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…