Moyo wangu unaugua kwa ajili ya raia wa Afghanistan

Moyo wangu unaugua kwa ajili ya raia wa Afghanistan

Watanzania ni wanafiki sana. Unasahau kwamba kwako kunaungua ila unaenda kuokoa kwa jirani. Tanzania kuna majanga makubwa sana ila unakimbilia kuongelea ya wenzanko.
 
Kwangu m imi binadamu anayeonewa ni wa thamani kuliko mahala wala kitu chochote. Wewe je?
Ujinga mtupu google uangalie waswahili waliomo kisiwa cha Andaman waitwao jarawa wanavyotenzwa na wabaguzi hao.
 
Ujinga mtupu google uangalie waswahili waliomo kisiwa cha Andaman waitwao jarawa wanavyotenzwa na wabaguzi hao.
Kwa hiyo wewe unafurahia hao wanavyobaguliwa na kuteshwa ukiwa mwerevu? Kweli uhuha ni adui wa maendeleo.
 
Ndugu wasomaji, ni nini tunajifunza katika hali hii iliyoko Afghanistan?

Siku zote sijawahi kuwa na imani na unafiki wa watu wanaosema wanatetea dini lakini wakitoa watu kuwa sadaka kwa miungu. Wanalazimishsa kutawala kwa jina lolote lakini si kwa ajli ya watawaliwa.

Hivi utawala wa mabavu, siasa za kuangamiza watu kwa misingi ya dini isiyokubalika, ndio utawala wa shetani?

Moyo wangu unaugua sana kwa ajili ya raia wa Afghanstan. Ninaugua sana. Mungu nakuomba uwakumbuke hawa watoto wako unaowapenda katika nchi ya Afghan. Dunia imeshindwa kuwatetea lakini wewe unaweza. Dunia imeshindwa kuwalinda lakini wewe unaweza. Wametekwa ndani ya eneo ulilowapa na kwa mkono wa adui wa ndani sasa ni mateka. Maisha yao yamejaa mashaka bila tumaini.

MUNGU, KATIKA JINA LA YESU KRISTO ALIYEHAI MILELE, KWA AGANO LA DAMU YA YESU, NAINAOMBA UWAKUMBUKE TAIFA LA AFGHANSTANI. NINAOMBA MUNGU UWAONYESHE UWEPO NA UPENDO WAKO. AHSANTE BABA KWA KUWA UNANISIKIA SIKU ZOTE. KWA JINA LA YESU NIMEOMBA - AMEN


Amina, hope Mungu wetu ni msikivu sana na atatenda na sasa anatenda.
 
Hivi wewe punguani unataka nini? Leave me alone mwendawazimu wewe!. Ungelikuwa na akli japo kidogo usingekuwa pumba kiasi hiki.
Umeanza kuchemka mbona sijakufikisha mie nikufate nakujua? Inawezekana ima wewe gaidi au gabacholi. Pole sana nungunungu
 
Acha unafiki ww, hukuugua walipouwawa Raia wa Iraq, Libya, Palestine na viongozi wa upinzani Tanzania unakuja kuugua leo ???
 
Waarabu ni matahira hayana tofauti na Waafrika yanatumika kama toilet paper,mbona kuna Nchi nyingi za ulaya zina resources nyingi lakini hazina vikundi vya ugaidi.
Mnalazimisha watu wawe na imani potofu wasipofata mnawaripua, maji yakishawafika shingoni mnaaza upuuzi wa kulalamika, watu wapo kwenye nchi zao acheni upuuzi
 
Serikali yao ilipewa kila kitu,mafunzo ya kijeshi,vifaa,kitu pekee ambacho USA haikuweza kuwapa ni moyo na Hari ya kupambana,Biden amelitolea maelezo vzr sana.
Kwamba kama USA ilikaa Afghastan zaidi ya miaka 10,ikiisaidia serikali kupambana na Taliban,kama Hilo jeshi lao lililopewa kila silaha ya kisasa halikuweza kupambana na Taliban kwa miaka 10,nini kitalifanya liweze kupambana sasa hv hata kama USA ikilipa msaada kwa mwaka mwingine zaidi?
Biden kasema hawezi kutuma wamarekani kupambana kwenye vita ambayo wa Afghastan wenyewe hawataki kupambana.
Raisi kakimbia,jeshi Richa ya kuwa na siraha kali mpaka Ndege za kivita,waliweka silaha chini wakakimbia.
Hiyo civil war ni ya kwao,na USA haiwezi kuendelea kuwa kwenye vita isiyo na mwisho.
Ndio ujue kuwa uongo haudumu
 
Saudi Arabia, UAE, Qatar, Oman, Kuwait na Bahrain wanapiga kimyaa Kama haiwahusu vile.
Nchi zote hizi hazina uwezo wa kupeleka jeshi kule kwa sababu zimeruhusu nchi za ulaya na marekani kuweka military base kwenye nchi zao.
 
Back
Top Bottom