Moyoni Naumia...

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,379
Reaction score
41,294

Babaa...

Tambua kuwa moyoni naumia...

Nimepata maradhi, na tiba unayo wewe babaaa...

Fanya hima, naumia eeeh...

Kila nikilala taswira yalo naiona, vivyo hivyo suati yako...

Huku akili yangu ikipapasa ndevu zako..... aaah...!๐Ÿ˜ž๐Ÿ˜ž๐Ÿ˜žmoyoni naumia eeehhhh...



Wajua nalikosa huba lako mpenzi, basi sema nami lau kidogo eeeh babaaa....



Moyoni naumia eeehh

Pamoja na yote hayo hayo ila msosi unashuka kama kawaida ๐Ÿ˜…, ila bado naumia eeehhh ๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”.






Bibi Foodie ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹

Njoo hima tabibu wangu mpenzi, uniponye roho yangu ipate kupoa eeeh... kwakweli naugua eeeh..๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”.




Ilhali nakupenda pasi kifani, na kuumwa juu ya huba lako...(yakuwa naumia moyoni....) kamwe sikuachi... Hadi utaponiacha wewee....

Leo na kesho peponi, I Love You babaaa ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿฅฐ.

Kasinde Mahaba Matata.
 
Kumekuchwa na mahabati
 
Hivi nayeye ( nadhani umeshamjua ) ni member hapa JF, Na anafahamu hii ID yako? Kasie
 
Moyoni naumia eeehh

Pamoja na yote hayo hayo ila msosi unashuka kama kawaida [emoji28], ila bado naumia eeehhh [emoji17][emoji17][emoji17].[emoji23]
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ