Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Babaa...
Tambua kuwa moyoni naumia...
Nimepata maradhi, na tiba unayo wewe babaaa...
Fanya hima, naumia eeeh...
Kila nikilala taswira yalo naiona, vivyo hivyo suati yako...
Huku akili yangu ikipapasa ndevu zako..... aaah...!๐๐๐moyoni naumia eeehhhh...
Wajua nalikosa huba lako mpenzi, basi sema nami lau kidogo eeeh babaaa....
Moyoni naumia eeehh
Pamoja na yote hayo hayo ila msosi unashuka kama kawaida ๐ , ila bado naumia eeehhh ๐๐๐.
Bibi Foodie ๐๐
Njoo hima tabibu wangu mpenzi, uniponye roho yangu ipate kupoa eeeh... kwakweli naugua eeeh..๐๐๐.
Ilhali nakupenda pasi kifani, na kuumwa juu ya huba lako...(yakuwa naumia moyoni....) kamwe sikuachi... Hadi utaponiacha wewee....
Leo na kesho peponi, I Love You babaaa ๐๐๐ฅฐ.
Kasinde Mahaba Matata.