waukweli100
Senior Member
- Aug 18, 2014
- 193
- 24
ukianza na pale mitepweshi,unaweza kwenda kuchimba madini au kununua na kuja kuuza tz,na ni aina zote za madini zinapatikana pale,ukienda mkoa wa NIASSA pale lichinga ukifungua hoteli unapiga hela,au hata biashara ya nguo,viatu,wax,nk,nenda pale CUAMBA,biashara ya viatu,nguo,simu,tv nk utapiga hela,au nenda pale MANDIMBA fungua hoteli tu utapiga hela kwani ni kama mji wa kwanza ukitokea malawi,au nenda pale NAMPULA usikae mjini nenda pembezoni,fungua kijimgahawa utapiga hela,niliona wasomali wengi sn wamefungua hotel,kwa ushauri zaidi nicheck kupitia 0718375766