Mozambique: Nchi iliyojaa fursa nyingi za biashara

Mozambique: Nchi iliyojaa fursa nyingi za biashara

waukweli we uko sehem gani na unapiga mishe gani? nawaza sana kuja mozambique, hasa tete karibia na migodi ya makaa, kazi za general supply nikifungua ofisi tete nitapata au ndiyo fitna? biashara zingine zipi kwa mji huo? vipi nikitaka kuja kufanya utafiti itanigharimu kiasi gani labda kwa siku kumi? kama vipi niPM KAKA
 
Last edited by a moderator:
Acha uwongo wewe usidanganye watu pasipokuwa nafaida Mimi nimeishi Mozambique MUEDA.PEMBA.NAMPULA.nahuko mtepweshi kwenye madini ndipo nmeishi sana....hapo moza MTU kama sio RAIA wahapo asikudanganye MTU utapata shida mpaka utajuta sababu polisi wao niwanyama mpaka basi...haijalishi unapassport au haunaaa ila usumbufu utaopataaaa mbona utatamani urudi kufanya biashara bongo tu....

wewe umekaa sana monte puez ulikuwa unafanya nini na uliwezaje kuishi?
 
watz kibao wamenunua majumba lichinga wanaishi,we umekariri enzi sijui za nani ndo askar walikuwa wanyama,cku hizi wameelimika sio kama zamani
 
yes hilo ndo swali la msingi rene mwambie sasa akujibu eti kabisa anasema amekaa mz tena mbele anakwambia huwezi kuishi moz,asa we ulikaaje au labda ungesema umeenda na kurudishwa siku hiyohiyo,mbona kama comedy
 
rene fitna zinaletwa na watz kama huyo hapo juu anakwambia huwezi kuishi mozambique,ila yeye kasema aliishi sehem kama 5 hivi moz
 
Back
Top Bottom