Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,714
- 2,376
waukweli we uko sehem gani na unapiga mishe gani? nawaza sana kuja mozambique, hasa tete karibia na migodi ya makaa, kazi za general supply nikifungua ofisi tete nitapata au ndiyo fitna? biashara zingine zipi kwa mji huo? vipi nikitaka kuja kufanya utafiti itanigharimu kiasi gani labda kwa siku kumi? kama vipi niPM KAKA
Last edited by a moderator: