Mozambique: Nchi iliyojaa fursa nyingi za biashara

waukweli100

Senior Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
193
Reaction score
24
ukianza na pale mitepweshi,unaweza kwenda kuchimba madini au kununua na kuja kuuza tz,na ni aina zote za madini zinapatikana pale,ukienda mkoa wa NIASSA pale lichinga ukifungua hoteli unapiga hela,au hata biashara ya nguo,viatu,wax,nk,nenda pale CUAMBA,biashara ya viatu,nguo,simu,tv nk utapiga hela,au nenda pale MANDIMBA fungua hoteli tu utapiga hela kwani ni kama mji wa kwanza ukitokea malawi,au nenda pale NAMPULA usikae mjini nenda pembezoni,fungua kijimgahawa utapiga hela,niliona wasomali wengi sn wamefungua hotel,kwa ushauri zaidi nicheck kupitia 0718375766
 
Tanzania bado kuna fursa nyingi sana za maendeleo
 
Salute mkuu
 
usimfungue aliyelala acha watu walalamike hakuna ajira, achan na mgahawa tu ukienda ukaanzisha kilimo cha nyanya tu mvuno mmoja unakuwa milionea. pemba kilo moja sasa hivi ni mt 100 sawa na tzs 5000. mpo hapo matunda kama mananasi, matitkiti maji, na mengine mengi ni adimu kuyaona. pemba chumba mtc 1000 ambayo ni almost 50000 mtwara utalala kwa tzs 8000. uuwiii ndo maana nagi anaenunia mabasi na maning nice anatanuka tu wakat alienda na spana tu
 
waukweli kwasisi waajiri wa maofisini ambao tunaweza kupata siku walau saba kwa mwezi tunaweza kwenda huko kufanya biashara gani ya kwenda na kurudi?
 
Last edited by a moderator:
IFRS kama sijaelewa maana ungeandika threed kabla yangu ili uonekane una uelewa
 
me nauza viatu vya kimasai(culture) kutoka Nairobi na kuuza Bongo jumla na rejareja.... vip soko la huko likoje
 
kila lita 10 ni 800mts sawa na 40000tzs pita ma 12 itakuwa bei gani?supu ya mawe
 
Kaka nasikia maaskari wa huko wanawanyanyasa watz sana..
 
crocodile,,umesema pemba pako vzr kwa kilimo,pemba ipi? how to go their? plz naomba full detail.
 
Back
Top Bottom