waukweli100
Senior Member
- Aug 18, 2014
- 193
- 24
- Thread starter
-
- #21
kila lita 10 ni 800mts sawa na 40000tzs pita ma 12 itakuwa bei gani?supu ya mawe
we hapa unauza bei gani?mbuna
Nimehamasika kwenda kuishi huko. Vipi kuhusu Beira mkuu maana ndio targeted area yangu.
Hahahah! Shake Money plot imeanza kujengwa ikikamilika inapangishwa naenda zangu Beiraaa:smile-big:Kuishi kabisa???:shocked:
Bongo plot unamwachia nani mama Gemmy?
Hahahah! Shake Money plot imeanza kujengwa ikikamilika inapangishwa naenda zangu Beiraaa:smile-big:
kama zipi?kufukuzwa na migambo au