Mozambique: Nchi iliyojaa fursa nyingi za biashara

Mozambique: Nchi iliyojaa fursa nyingi za biashara

Kweli mkuu,
changamoto zipo za kawaida,
Wanamahitaji makubwa ya
Sufuria,kandambili,
Mifuko ya rambo bidhaa za plastiki kama ndoo,beseni etc.
Tayari Bakhresa keshafungua kiwanda huko
Shtuka mapema............
 
waukweli100, I salute you!. Umetaja maeneo fulni ya Mozambique ambapo nilikaa muda mrefu. Vitu ulivyosema kuhusu biashara Mozambique upo sahihi sana.

Muda wa kurudi Bongo ulipofika baada ya kumaliza majukumu yangu nilitamani niendelee kubakia kule lol!!
 
Nimehamasika kwenda kuishi huko. Vipi kuhusu Beira mkuu maana ndio targeted area yangu.
 
lugha inayomaanishwa hapo ni portuguese au kireno in swahili@chuck
 
ok mbuna hivyo vya 20 utauza 25 na ivo vingine ni 350 sawa na 17500tzmadafu
 
ni sawa gemmy now day watu wanaishi 2 wala hawasumbuliwi kama kitambo
 
Acha uwongo wewe usidanganye watu pasipokuwa nafaida Mimi nimeishi Mozambique MUEDA.PEMBA.NAMPULA.nahuko mtepweshi kwenye madini ndipo nmeishi sana....hapo moza MTU kama sio RAIA wahapo asikudanganye MTU utapata shida mpaka utajuta sababu polisi wao niwanyama mpaka basi...haijalishi unapassport au haunaaa ila usumbufu utaopataaaa mbona utatamani urudi kufanya biashara bongo tu....
 
Sema kiupande wathamani yapesa yao upo sahihi....meticais inathamani kubwa sana ukilinganisha na shilling yakwetu...
 
Back
Top Bottom