Moze Iyobo: Hata kama Aunty kanizidi umri 'Haihusu'

Moze Iyobo: Hata kama Aunty kanizidi umri 'Haihusu'

ile mimba ndugu zangu mi nahisi kanyaboya km sio mheshimiwa sijui mi nawaambia tu jamani!

Mwenzangu na mimi nilihisi hivyo lakini naona sio kweli.Hii mimba ya aunty ni kubwa tofauti na tulivyowahisi na mh.
 
Khaa! ina maana dogo alikua anapiga peku? Watu wana moyo
 
tumuache kitu gani? lazima tumchambe bwana sio mwanaume wa kuzaa na auny yule , sura hana pesa hana na elimu hana, yani bwana ake yupo yupo tu kama treni ya mwakyembe haeleweki

Hahahahaaaa,Iyobo mbaya kiukweli aiseee...hafai hata kutokea out.
 
Nyie hamjashtukia hii michezo ya hawa bonge muvi.....cheki kina Shilole, Uwoya......madogo ni makanyaboya kwa kujua au kutojua, wanaosimami shoo wapo behind the scene...si unajua tena wanapenda utamu ila hawapo tayari kwa scandal za team Shigongo and associates.

Dogo kimuziki anacheza show kwa Diamond ila in the "papuchi world" anacheza show ya "Mwenyewe".
 
Mwenzangu na mimi nilihisi hivyo lakini naona sio kweli. mimba ya aunty ni kubwa tofauti na tulivyowahisi na mh.

Shida yenu nn mapenzi sio pesa kuna vigogo wangapi wanachapiwa wake zao na walinzi acheni dago ale mzigo
 
(W)anadai ya kwamba nimeshuka kiwango/
Nilikuwa mjeshi hivi sasa ni mgambo/....


Nash MC
 
Yaani kwa huyo Moze sijui moza kachemka saana tu.. ndege mjanja kanasa kwenye tundu bovu.. ila hili ubovu umezidi wallah
 
kwa diamond na zari mwanzoni watu walishtuka hivi hivi, walisema yule mshamba wa tandale atoke na classic lady kama zari kabisa??? haiwezekana kumbe inawezekana na mimba juu, sasa moze kaamua kufuata nyayo za boss wake. hakuna tatizoo, kama mkate na ugumu wake wote hulainishwa nabkikombe cha chai??? hakuna haja ya kushangaa!
 
daah aunt ezekiel si bora angekuja kwangu mimi tu mtumishi wa umma mwenye ajira ya kudumu ningemkabidhi ATM card yangu na lile shamba langu la mifugo kule vikindu angekua kila siku anaeletewa hesabu ya maziwa,sasa moze anategemea kudra za diamond siku akitoswa ndio basi tena....maskini aunt dooh!

hahahahaaa u wish, ndio hivyo moze kashaokota dodo kwenye mpera
 
Wala hatukushangai wewe, tunamshangaa huyo cheusi dawa wako jinsi alivyokuwa akijifanya matawi ya juu kuangukia kwa kapuku kama wewe, sisi hatukushangai wewe maana tunakujua vizur ni mcheza shoo wa diamond

alafu jamaa anajituma vipi?? ninapenda huduma zake, utamuona moze mara kamvua viatu mara kamvisha, mara kaielevate miguu ya aunty kwenye mapaja yake bibie asipate oedema, sasa hizo ni zile huduma tunazoziona, sijui zile za chumbani uuuwiii!! yani ni full raha.
 
Back
Top Bottom