Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daah aunt ezekiel si bora angekuja kwangu mimi tu mtumishi wa umma mwenye ajira ya kudumu ningemkabidhi ATM card yangu na lile shamba langu la mifugo kule vikindu angekua kila siku anaeletewa hesabu ya maziwa,sasa moze anategemea kudra za diamond siku akitoswa ndio basi tena....maskini aunt dooh!
Hahahahaaaa,bado hujachelewa chinga....subiri ajifungue umchukue mbebez Aunty.
Ila Aunty kashangaza kweli yani kuamua kuzaa na huyo kapuku mtegemea dance!...Ila hatuwezi kujua kampendea nini,tumuache na maisha yake aliyojichagulia.
DANSA grade one wa Nasibu Abdul Diamond', Moses Iyobo amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama mpenzi wake, Aunt Ezekiel amemzidi umri, ataendelea kumpenda hivyohivyo . Akizungumza na mwanahabari wetu juzikati, Iyobo alisema watu wengi wamekuwa wakihoji yeye kumpenda Aunt ambaye ana umri wa miaka 29, hawajui tu mapenzi hayaangalii umri kwani miaka ni namba tu za kuhesabika.
Age is just a number, mimi sioni tatizo kuwa na Aunt. Nategemea anizalie, awe mama wa watoto wangu. Kuhusu wale wanaosema nina mke mwingine, si kweli yule nilizaa naye tu lakini kwa Aunt ndiyo nimefika alisema Iyobo ambaye ana umri wa miaka 23.
Dang son. You are 23, got a baby mama, and are looking for another baby mama?
Unatupa ushahidi kwamba kweli utajiri wa muafrika watoto.
daah aunt ezekiel si bora angekuja kwangu mimi tu mtumishi wa umma mwenye ajira ya kudumu ningemkabidhi ATM card yangu na lile shamba langu la mifugo kule vikindu angekua kila siku anaeletewa hesabu ya maziwa,sasa moze anategemea kudra za diamond siku akitoswa ndio basi tena....maskini aunt dooh!
Hahahahaaaa,bado hujachelewa chinga....subiri ajifungue umchukue mbebez Aunty.
Ila Aunty kashangaza kweli yani kuamua kuzaa na huyo kapuku mtegemea dance!...Ila hatuwezi kujua kampendea nini,tumuache na maisha yake aliyojichagulia.
Exactly mkuu, na hapo uwezekano wa hawa kuoana ni 5%..dogo bado ataendelea kutafuta watoto wengi zaidi.
ahahahh mwenzangu, matawi yameangukia chooni...khaa aiseh hata kama mapenzi hayachugui kwa aunty big no kwa kweli, kwanza mke wa mtu , anapata wapi ujasiri huu? tena yuko poa kabisa, anaifundisha nini jamii? hawa wasanii inabidi watungiwe sheria, maana wana haribu sana vijana wa kike wanaowatazama kwwnye media, tena huyo aunty anyongwe kabisa pumbafu zake sio umalaya huu kwa kweli
Hahahaaa,ndege mjanja kanaswa kwenye tundu bovu.
Hii couple ya mondi na wema ilitengeneza couples nyingine...Esma na Petit,Aunt na Iyobo.....
Wasingeachana sijui ingeongezeka ipi!
Nna mashaka groupsex ilikua inahusika!for funny kila mtu anakamatia mate wake maana sio mkumbo haaa!!
tatizo sio watoto...tatizo huyo jamaa hana maisha ya kueleweka, watu wana watoto 10 ila watoto wote wanapta huduma safi na inayostahiki, sasa moze huyo mmoja tu kamshindwa huyo wa aunty si ndo majanga
aunty jambazi lile, dawa yake ni kumwagia tindikali tu
daah aunt ezekiel si bora angekuja kwangu mimi tu mtumishi wa umma mwenye ajira ya kudumu ningemkabidhi ATM card yangu na lile shamba langu la mifugo kule vikindu angekua kila siku anaeletewa hesabu ya maziwa,sasa moze anategemea kudra za diamond siku akitoswa ndio basi tena....maskini aunt dooh!
Huwezi jua lakini usikute moze ndio muhasibu wa diamond.
Aunt na haka kajamaa vyote vifupi, halafu huyo Aunt ni kama amechomekea dela kwenye chupi, au macho yangu???