Moze Iyobo: Hata kama Aunty kanizidi umri 'Haihusu'

Moze Iyobo: Hata kama Aunty kanizidi umri 'Haihusu'

kwa hapa credit nying sana nampa mshkaj ila anti ni loser
 
daah aunt ezekiel si bora angekuja kwangu mimi tu mtumishi wa umma mwenye ajira ya kudumu ningemkabidhi ATM card yangu na lile shamba langu la mifugo kule vikindu angekua kila siku anaeletewa hesabu ya maziwa,sasa moze anategemea kudra za diamond siku akitoswa ndio basi tena....maskini aunt dooh!

Hahahahaaaa,bado hujachelewa chinga....subiri ajifungue umchukue mbebez Aunty.
Ila Aunty kashangaza kweli yani kuamua kuzaa na huyo kapuku mtegemea dance!...Ila hatuwezi kujua kampendea nini,tumuache na maisha yake aliyojichagulia.
 
Last edited by a moderator:
Dang son. You are 23, got a baby mama, and are looking for another baby mama?

Unatupa ushahidi kwamba kweli utajiri wa muafrika watoto.
 
Huwezi jua lakini usikute moze ndio muhasibu wa diamond.
 
Last edited by a moderator:
DANSA grade one wa Nasibu Abdul ‘Diamond', Moses Iyobo amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama mpenzi wake, Aunt Ezekiel amemzidi umri, ataendelea kumpenda hivyohivyo . Akizungumza na mwanahabari wetu juzikati, Iyobo alisema watu wengi wamekuwa wakihoji yeye kumpenda Aunt ambaye ana umri wa miaka 29, hawajui tu mapenzi hayaangalii umri kwani miaka ni namba tu za kuhesabika.

“Age is just a number, mimi sioni tatizo kuwa na Aunt. Nategemea anizalie, awe mama wa watoto wangu. Kuhusu wale wanaosema nina mke mwingine, si kweli yule nilizaa naye tu lakini kwa Aunt ndiyo nimefika” alisema Iyobo ambaye ana umri wa miaka 23.

Aunt na haka kajamaa vyote vifupi, halafu huyo Aunt ni kama amechomekea dela kwenye chupi, au macho yangu???
 
Dang son. You are 23, got a baby mama, and are looking for another baby mama?

Unatupa ushahidi kwamba kweli utajiri wa muafrika watoto.

Exactly mkuu, na hapo uwezekano wa hawa kuoana ni 5%..dogo bado ataendelea kutafuta watoto wengi zaidi.
 
daah aunt ezekiel si bora angekuja kwangu mimi tu mtumishi wa umma mwenye ajira ya kudumu ningemkabidhi ATM card yangu na lile shamba langu la mifugo kule vikindu angekua kila siku anaeletewa hesabu ya maziwa,sasa moze anategemea kudra za diamond siku akitoswa ndio basi tena....maskini aunt dooh!

ebu nisaidie kushangaa kwa kweli , huyu aunt sio mzima kwa kweli , wanataka kumtesa kiumbe wa watu tu, huyo moze mtoto wake tu kashindwa kumgharamia maziwa na mahitaj mingine huyo wa aunty sijui kutakuwa na miujiza gan ebu ngoja tuone itakavyokuwa
 
Hahahahaaaa,bado hujachelewa chinga....subiri ajifungue umchukue mbebez Aunty.
Ila Aunty kashangaza kweli yani kuamua kuzaa na huyo kapuku mtegemea dance!...Ila hatuwezi kujua kampendea nini,tumuache na maisha yake aliyojichagulia.

tumuache kitu gani? lazima tumchambe bwana sio mwanaume wa kuzaa na auny yule , sura hana pesa hana na elimu hana, yani bwana ake yupo yupo tu kama treni ya mwakyembe haeleweki
 
Last edited by a moderator:
Exactly mkuu, na hapo uwezekano wa hawa kuoana ni 5%..dogo bado ataendelea kutafuta watoto wengi zaidi.

tatizo sio watoto...tatizo huyo jamaa hana maisha ya kueleweka, watu wana watoto 10 ila watoto wote wanapta huduma safi na inayostahiki, sasa moze huyo mmoja tu kamshindwa huyo wa aunty si ndo majanga
 
ahahahh mwenzangu, matawi yameangukia chooni...khaa aiseh hata kama mapenzi hayachugui kwa aunty big no kwa kweli, kwanza mke wa mtu , anapata wapi ujasiri huu? tena yuko poa kabisa, anaifundisha nini jamii? hawa wasanii inabidi watungiwe sheria, maana wana haribu sana vijana wa kike wanaowatazama kwwnye media, tena huyo aunty anyongwe kabisa pumbafu zake sio umalaya huu kwa kweli

sasa hivi ni maisha ya liwalo na liwe.......
 
Inaonekana madensa wanawatamanishaga sana wadada na zile 'suggestive' styles zao. Hongera Moze. Acha nae ajitape mtaani kazaa na staa. Inalipa eti. Matunzo bwerere.....
 
Hahahaaa,ndege mjanja kanaswa kwenye tundu bovu.
Hii couple ya mondi na wema ilitengeneza couples nyingine...Esma na Petit,Aunt na Iyobo.....
Wasingeachana sijui ingeongezeka ipi!

Nna mashaka groupsex ilikua inahusika!for funny kila mtu anakamatia mate wake maana sio mkumbo haaa!!
 
Nna mashaka groupsex ilikua inahusika!for funny kila mtu anakamatia mate wake maana sio mkumbo haaa!!

Unadhani uongo?nimewahi kusikia kua Petit alikua anakamatia madame....
Sijui Martin Kadinda alikua anakamatia nani....hahahahaaaa
 
tatizo sio watoto...tatizo huyo jamaa hana maisha ya kueleweka, watu wana watoto 10 ila watoto wote wanapta huduma safi na inayostahiki, sasa moze huyo mmoja tu kamshindwa huyo wa aunty si ndo majanga

Ukiwa na watoto 10, hususan wenye mama tofauti, hata uwe na hela vipi huduma safi na inayostahiki ya mzazi kutumia muda pamoja na mwanawe inakuwa mgogoro.

Usifikiri huduma zote ni vitu ambavyo pesa inaweza kununua, kuna vingine haviwezi kununulika kwa pesa.
 
aunty jambazi lile, dawa yake ni kumwagia tindikali tu

Na amwagiwe tu,naona bado hajampata kiboko yake baada ya yule aliyemvunjia chupa bills.
Aunty sijui ana laana gani!..looh
 
daah aunt ezekiel si bora angekuja kwangu mimi tu mtumishi wa umma mwenye ajira ya kudumu ningemkabidhi ATM card yangu na lile shamba langu la mifugo kule vikindu angekua kila siku anaeletewa hesabu ya maziwa,sasa moze anategemea kudra za diamond siku akitoswa ndio basi tena....maskini aunt dooh!

hahaaa loool kumbe mnamponda aunty sababu mnamtaman nakujiuliza mshkaj kampataje loo ATM zingine hazina hela ni charter za bank tu usikute huna hata salio lakukuwezesha kuangalia salio.
hamna kaz mbaya Iyobo piga kazi weka vibiashara looo
 
Huwezi jua lakini usikute moze ndio muhasibu wa diamond.

Aah wapi wewe,angekua muhasibu angefukuzwa?Au hujui kua kuna kipindi aliwahi kusimamishwa kutokana na utovu wa nidhamu?
Yule mkata kiuno kwenye ngololo tu hana ubavu wa kua muhasibu yule.
 
Aunt na haka kajamaa vyote vifupi, halafu huyo Aunt ni kama amechomekea dela kwenye chupi, au macho yangu???

Ndio kachomekea.Unashangaa nini?Aunty mbona mswahili sana?Hujawahi kumuona akiwa kwenye vigodoro eeh?
 
Back
Top Bottom