ile mimba ndugu zangu mi nahisi kanyaboya km sio mheshimiwa sijui mi nawaambia tu jamani!
tumuache kitu gani? lazima tumchambe bwana sio mwanaume wa kuzaa na auny yule , sura hana pesa hana na elimu hana, yani bwana ake yupo yupo tu kama treni ya mwakyembe haeleweki
Khaa! ina maana dogo alikua anapiga peku? Watu wana moyo
Mwenzangu na mimi nilihisi hivyo lakini naona sio kweli. mimba ya aunty ni kubwa tofauti na tulivyowahisi na mh.
Yaani kwa huyo Moze sijui moza kachemka saana tu.. ndege mjanja kanasa kwenye tundu bovu.. ila hili ubovu umezidi wallah
Acha wivu
Siachi
Mkuu hold on plzzz, no doupt utakuwa kaka wa aliyeachwa, tindikali kabisaaa!!! umuharibie mapokezi???aunty jambazi lile, dawa yake ni kumwagia tindikali tu
daah aunt ezekiel si bora angekuja kwangu mimi tu mtumishi wa umma mwenye ajira ya kudumu ningemkabidhi ATM card yangu na lile shamba langu la mifugo kule vikindu angekua kila siku anaeletewa hesabu ya maziwa,sasa moze anategemea kudra za diamond siku akitoswa ndio basi tena....maskini aunt dooh!
Yaani kwa huyo Moze sijui moza kachemka saana tu.. ndege mjanja kanasa kwenye tundu bovu.. ila hili ubovu umezidi wallah
Hivi hapo ni nani imekula kwake?? moze kapata au kapatwa??
hivi aunty ni classic sana, ja ni viwango gani vinatumika??Shida yenu nn mapenzi sio pesa kuna vigogo wangapi wanachapiwa wake zao na walinzi acheni dago ale mzigo
Hee kapakatwa?? aahg kumbe kapatwa..ok ok!
Wala hatukushangai wewe, tunamshangaa huyo cheusi dawa wako jinsi alivyokuwa akijifanya matawi ya juu kuangukia kwa kapuku kama wewe, sisi hatukushangai wewe maana tunakujua vizur ni mcheza shoo wa diamond