Moze Iyobo '' tatizo ni diamond mimi ni kioo tu''

huyu mgambia bwana...kwahiyo Mondi ndo alimtuma afanye vile...kutaka kumuingiza Mondi wa watu kune ujinga wake...angekua na hekima angeomba tu radhi yakaisha...au angeuchuna tu...sio kuanza kumdrag Chibu kune upuuzi wake...
Iyobo bwege tu yule Shilawadu walienda muhoji mkewe kutokana na bifu lake na tunda sasa hapo diamond anaingiaje?
 
Bifu za kijinga sana hizi zinazofanywa na watu wapuuzi
 
Hawa clouds hawa wanapendaga sana kuwacontrol wasanii wawe chin yao na wafate wanachokitaka
Nakumbuka hawa ndo waliowagawa mashabiki wa kiba na mond na kutengeneza timu mbili zenye bifu lisiloisha[emoji57]
 
Akili hizi! kwahyo ukiwa kwenye mwamvuli flani ukifanya kosa uchekewe kisa uko ccm au wcb.
 
KWA AKILI YAKO HUYU MKATA VIUNO ANAWEZA KUMPIGA MTU hata kofi km hajasema "kalale nacho;
kalegea kila kiungo mpk ulimi unashindwa hata kumpa jina zuri mwanao unamuita biscuit.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wenyewe wana mwita cookie
 
Kwenye uchambuzi wa mpira ningekuita Kashasha. Hongera sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…