kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Aje remix vipi na kajiandae au zile zilikuwa cyo zakeAchaguliwe kwa nyimbo gani. Hajatoa wimbo au anategemea wimbo wa aje,
Aisee kulala na meneja(7 mosha) hakujawahi kumwacha mtu salama
Acha kumpinzanisha diamond na vitu vya kijinga. Mashabik bwana kwa upinzan up mkubwa wa kiba kwa diamond?Mpinzani wake mkubwa kwa upande wa mziki wa bongo flava mond kawa nominated kwenye tuzo kama tatu iv lakini kwa king kiba hari iko tofauti maana tokea huu mwaka uingie king kiba hajatajwa kabisa kuwania ata tunzo za mbuzi ndo kusema mziki wake umeisha thamani au kuna figisu zinafanyika chini kwa chini ili kumshusha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hari ya kawaida tu mpinzani wa domo kwenye bongo flava ni nani kama siyo king kibaAcha kumpinzanisha diamond na vitu vya kijinga. Mashabik bwana kwa upinzan up mkubwa wa kiba kwa diamond?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zingehiti wangejitapa ila kwa kuwa zimebuma siyo zaoOfcourse moja yake ingine ni collabo yaani anamiliki nusu. Basi labda itakua chibu kamroga
Wewe huna like hata moja, ndio kusema mada yako kimeo?Huku mpinzani wake mkubwa kwa upande wa mziki wa bongo flava mond kawa nominated kwenye tuzo kama tatu iv lakini kwa king kiba hari iko tofauti maana tokea huu mwaka uingie king kiba hajatajwa kabisa kuwania ata tunzo za mbuzi ndo kusema mziki wake umeisha thamani au kuna figisu zinafanyika chini kwa chini ili kumshusha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bora kutotoa wimbo kwa mwaka mzima kuliko kutoa wimbo unao hit wiki tatu then umechuja.
Alikiba ana nyimbo 2 kwa mwaka huu na zote zimedoda ndio maana mnadhani hajatoa wimbo.Ni bora kutotoa wimbo kwa mwaka mzima kuliko kutoa wimbo unao hit wiki tatu then umechuja.
Aje remix na kajiandae baada ya kudoda wanazikataa yaani wasanii wa kibongo bhanaAlikiba ana nyimbo 2 kwa mwaka huu na zote zimedoda ndio maana mnadhani hajatoa wimbo.