Mpaka dakika hii kiba hajawa nominated kwenye tuzo hata moja ndo kusema mziki wake umefifia

Mpaka dakika hii kiba hajawa nominated kwenye tuzo hata moja ndo kusema mziki wake umefifia

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
1,119
Reaction score
1,095
Huku mpinzani wake mkubwa kwa upande wa mziki wa bongo flava mond kawa nominated kwenye tuzo kama tatu iv lakini kwa king kiba hari iko tofauti maana tokea huu mwaka uingie king kiba hajatajwa kabisa kuwania ata tunzo za mbuzi ndo kusema mziki wake umeisha thamani au kuna figisu zinafanyika chini kwa chini ili kumshusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpinzani wake mkubwa kwa upande wa mziki wa bongo flava mond kawa nominated kwenye tuzo kama tatu iv lakini kwa king kiba hari iko tofauti maana tokea huu mwaka uingie king kiba hajatajwa kabisa kuwania ata tunzo za mbuzi ndo kusema mziki wake umeisha thamani au kuna figisu zinafanyika chini kwa chini ili kumshusha

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kumpinzanisha diamond na vitu vya kijinga. Mashabik bwana kwa upinzan up mkubwa wa kiba kwa diamond?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio lazima kuwa nominated kila mwaka..imekuwa sifa au??
 
Huku mpinzani wake mkubwa kwa upande wa mziki wa bongo flava mond kawa nominated kwenye tuzo kama tatu iv lakini kwa king kiba hari iko tofauti maana tokea huu mwaka uingie king kiba hajatajwa kabisa kuwania ata tunzo za mbuzi ndo kusema mziki wake umeisha thamani au kuna figisu zinafanyika chini kwa chini ili kumshusha

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huna like hata moja, ndio kusema mada yako kimeo?
 
Kuwa nominated ni ishu moja kuchukua tuzo ni ishi nyingne...
Ungekuja kumuombea kura Diamond Plantinumz humu ningekuona wa maana zaidi kuliko kuja kuwachonganisha wasanii hawa wa kitanzania.
 
Ni bora kutotoa wimbo kwa mwaka mzima kuliko kutoa wimbo unao hit wiki tatu then umechuja.
Alikiba ana nyimbo 2 kwa mwaka huu na zote zimedoda ndio maana mnadhani hajatoa wimbo.
 
Nyimbo za Kiba nyingi mbaya...
Jumlisha na mkataba wa sony, yamemkuta yaliyomtokea Davido.

Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom