Mpaka dk hii hawajakatwa waliotaka kumteka Tarimo

Mpaka dk hii hawajakatwa waliotaka kumteka Tarimo

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,087
Reaction score
3,156
Wale jamaa sura zao zilionekana vizuri,na namba ya gari,lakini mpaka dk hii kweli polisi wameshindwa kuwaweka kati ,ama ni ndugu zao?
 
Wale wa Mzee Kibao mpaka Rais alisema na hawajakamatwa.... hakuna kitu hapo
 
Hadi Abduli avunjwe ngoko ndio utaona mji ukichangamka.
 
Kwa hii serikali wa wa pumbavu usitarajie
Kwa ufupi Tanzania ya sasa kila Raia ajilinde mwenyewe.
 
Back
Top Bottom