TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Dah!Wale wa Mzee Kibao mpaka Rais alisema na hawajakamatwa.... hakuna kitu hapo
Duu!Hivyo umetulia unatarajia policcm kujikamata wemyewe, fool
Unamkamataje mtu ambaye yupo kituoni polisi anafanya kazi?Wale jamaa sura zao zilionekana vizuri,na namba ya gari,lakini mpaka dk hii kweli polisi wameshindwa kuwaweka kati ,ama ni ndugu zao?