Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Nadhani watajirekebisha
Nalog off
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeisahau Toyota VISTAHuwezi kuelewa mpaka ukiona Odometer za
Rumion
Oppa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui walifikiria nini yan
Susieni magari yaoSpeed meter/Odometer inakuwa katikati kwenye dashboard. Ili iweje sasa? Mambo mengine ya hovyo tu mi naona.
Kuna gari za Japan nmeona zina hiyo kitu. Leo nlikuwa na jamaa yangu kaomba nimsaidie kumfikisha Dodoma kwa gari yake sababu nami nlikuwa naelekea huko. Nikamwambia hamna shida kwa kuwa mimi sitopata usumbufu wa Traffic njiani
Nmeshika usukani gari lake Toyota Rumion speed meter/odometer ni kama matangazo kila mtu anaona.
Nakanyanga ikifika 160 kms/hr jamaa akiangalia pale kwenye meter anakalia tako moja anashikilia kiti huku amekodoa macho. Mwoga.anasema amewahi kimbiza sana gari akafikisha speed 100 kms/hr.
Kiukweli imenifanya nikose amani sababu kwa watu waoga wanasumbua sana. Ni bora niwe najionea mwenyewe abiria asijue.
Tulifika salama na jamaa ameshukuru. Ila wajapan waache kuwaambia watoto wao kutengeneza magari. Wawe serious. Hi designing nyingine sielewi walifikiria nini.
Acha kunichafua wewe....Naye ni mvaa buti huyo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]wao wanalindana sana aisee
Kabisa aiseeeeHiyo speed meter inatakiwa ijifiche kwenye usukani awe anaona dereva pekeyake ndo anajua spidi ya gari sio kila abiria aone inafanya wanapaniki bure
Nonsense. Kuna ambao wanaendesha baiskel speed 20km/hr na wanapata ajali. Na wengine wanatembea tu.Kuna law inaitwa law of large number.Hii law inasema kuwa kama utaendelea kurudia reckless behaviour basi kuna siku utapata cha mtema kuni.Ukiendelea na hiyo reckless behaviour ya kuendesha gari at 160km/hr kuna siku utapata unachokitafuta.
Acha ushamba basi [emoji3][emoji3] kwani hizi nyuzi wanacomment wana jf wote? Watu wanacomment nyuzi zinazowahusu hivyo si ajabu wote au wengi wao wakawa na magari.Jf 98% tunamiliki ndinga ushahidi ni nyuzi Kama hizi
Wewe mwanamke na mimba yako unakuja kucheua mada ya kijinga hapa unategemea ujibiwe nini kunguni weweNinyi ndo huwa mnazalishwa mnaachwa... Hujalazimishwa kuchangia. Baadaye unasema wanaume wabaya kumbe ulikuwa na kimbelembele...
Kichekesho sasa kama mnaenda Dar-Moshi wewe unatembea 110kph huyo anaeenda 160kph anakuzidi dakika zisizozidi 20 hivi na lita nyingi za petrol.Nilipokua kijana nilikua nakaa 160 km/hr kama cruising speed, nimezeeka sasa regardless of type of vehicle max speed is 110km/hr
Very true mkuuKichekesho sasa kama mnaenda Dar-Moshi wewe unatembea 110kph huyo anaeenda 160kph anakuzidi dakika zisizozidi 20 hivi na lita nyingi za petrol.
Si kweli. Kumbuka huu mwendo siyo constant. Lakini kuna uwezo binafsi wa ku drive maeneo tofauti tofaut. So si kweli kuwa anakuzidi dakika zisizozidi 20. Si kweli. Suala la mafuta ni debatable pia kwa aina ya gari na uendeshaji. Haya mambo yana mambo mengiKichekesho sasa kama mnaenda Dar-Moshi wewe unatembea 110kph huyo anaeenda 160kph anakuzidi dakika zisizozidi 20 hivi na lita nyingi za petrol.
🤣🤣🤣🤣 Watanzania wengi mpo hivi.Very true mkuu
Ushauri mzuri sana. Maana wabongo huwa wanashadadia hata yasiyowahusu na wanaumia sana kwa hayoAcha ushamba basi [emoji3][emoji3] kwani hizi nyuzi wanacomment wana jf wote? Watu wanacomment nyuzi zinazowahusu hivyo si ajabu wote au wengi wao wakawa na magari.
Anyway nunua hata kavitz upunguze makasiriko [emoji3][emoji3]
Wengi anakupita na 160kph baada ya dakika chache unamkuta kanasa nyuma ya malori au kadakwa na polisi. Kwenye mafuta anaenda 160kph na 110kph kuna tofauti kubwa hata ukiweka factors mbalimbali.Si kweli. Kumbuka huu mwendo siyo constant. Lakini kuna uwezo binafsi wa ku drive maeneo tofauti tofaut. So si kweli kuwa anakuzidi dakika zisizozidi 20. Si kweli. Suala la mafuta ni debatable pia kwa aina ya gari na uendeshaji. Haya mambo yana mambo mengi
Tumia limao/ndimu vitakusaidia sana kuondoa hiyo hali ya kichefu chefu. Pia epuka kujihusisha na mambo yasiyokuhusu. Kaa jikoni au chumbani pumzika. Mambo ya wanaume wengi yatakuchanganya. Kwa mfano huu uzi ungeachana nao coz unahusu mambo ya kiume.Wewe mwanamke na mimba yako unakuja kucheua mada ya kijinga hapa unategemea ujibiwe nini kunguni wewe
Kuna mtu ananasa nyuma ya lorry na alikuwa anaendesha 80kms. Yaani bado si kigezo. Uendeshaji ni kuwa smart kujua wapi uende speed 50 na wapi uende 100 au wapi uende 60 na wapi uende 140 its all about science and art all together.Wengi anakupita na 160kph baada ya dakika chache unamkuta kanasa nyuma ya malori au kadakwa na polisi. Kwenye mafuta anaenda 160kph na 110kph kuna tofauti kubwa hata ukiweka factors mbalimbali.