Mpaka June usiporudi Naoa mwanamke mwingine!

Mpaka June usiporudi Naoa mwanamke mwingine!

@Aisha Adam
Ni kweli kabisa uyasemayo, atakuwa na mtu tayari! Mdada ana kazi ndiyo inauomsaidia kulipia Ada na kutunza watoto wake, tatizo ni lack of exposure au experience. Nikiwa naye chuoni (back then) yaani nikiongea dirty language anashtuka utafikiri sijui kasikia nini. Nimejaribu kumjanjarusha kidogo lkn she is very shy n naive!

Na nina wasi2 mkubwa kuwa hamjui mwanamume mwingine zaidi ya mumewe! All she needs now ni mtu mwingine wa kumtoa upweke, na secretly nawish aoe haraka ili mdada wa watu ajue it is over!
 
@Lizzy
Nimejaribu kumuambia kuwa akitaka kurudi, arudi lkn atamkuta mumewe yule yule aliyemuacha! I hope akisoma michango yenu ambayo nitajaribu kuitranslate atajifunza! Uzuri wake anapenda kujifunza!

Thanks dear!
 
tell her she has a terrible decision to make, and its only an option among the two, she go back or she move on
she may go back, its a wise choice, because marriage was not just meant to be broken, and a man is threatening to marry because she has been far for sometime, not necessarily because he has someone, nowdays watu wa kuoa you dont get a trouble, actually every girl wants to be married now days, jst nt all are good. then she should find in herself a reason why she married him? was it because she loved him or what, and find in herself if that reason is no more, then she will be free to go after the second option, not going back!!! all in all we all know the proud we feel growing seing both our parents together it makes sense for a child refering to both his/her parents, rather than one....i know you can get my point..
 
@ toghocho
U sound like her husband! LOL
Nimekupata, lkn she was hardly happy in her marriage, mwanaume ni full mainsecurity, maugomvi, uvivu na matusi! Bora niwe peke yangu kuliko kuwa na mume wa hivyo.
 
@ toghocho
U sound like her husband! LOL
Nimekupata, lkn she was hardly happy in her marriage, mwanaume ni full mainsecurity, maugomvi, uvivu na matusi! Bora niwe peke yangu kuliko kuwa na mume wa hivyo.
no i'm nt her husband, but i know that marriage is not just like any other relationships, about hizo tabia he will wont change soon, but he will change sometimes, bora amsome tu, abt nini kinasababisha ugomvi, no one anaweza akakufight without a reaction from you, and kuhusu uvivu she is educated kama ulivyosema, so she can feed them up, i mean children and hubby. and as in ur conversation she really loves him! but plz mark my words, this isnt the only option she can consider not going back too, but as i said before only if "she had find in herself a reason why she married him! was it because she loved him or what, and find in herself if that reason is no more"
 
Huyo tayari imeshakula kwake, no bolingo nayo sherii. Aanze upya tu.
 
Back
Top Bottom