Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,494
- Thread starter
- #21
@Aisha Adam
Ni kweli kabisa uyasemayo, atakuwa na mtu tayari! Mdada ana kazi ndiyo inauomsaidia kulipia Ada na kutunza watoto wake, tatizo ni lack of exposure au experience. Nikiwa naye chuoni (back then) yaani nikiongea dirty language anashtuka utafikiri sijui kasikia nini. Nimejaribu kumjanjarusha kidogo lkn she is very shy n naive!
Na nina wasi2 mkubwa kuwa hamjui mwanamume mwingine zaidi ya mumewe! All she needs now ni mtu mwingine wa kumtoa upweke, na secretly nawish aoe haraka ili mdada wa watu ajue it is over!