BIG Banned
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 262
- 71
La haula!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ushawahi kupiga msuba?
acha kumzeesha mwenzio,1998 kongosho alikuwa darasa moja la kwanza na lulu mtendeni praimari.
blaine,wewe ni She? mmmhhhh hizi avatar hizi!
nikifunga ndoa na mtu, ninakuwa nimempenda na kutaka kuishi nae kwa siku zote za maisha yangu. ishu ya 'mapenzi kuisha' haipoHuu ukilaza huu, hata sijaelewa........... Hebu tufasirie sisi tusiojua hiyo lugha, maana naamini unakijua kiswahili vizuri na ndio maana umelewa mada hii na ndio maana umechangia......................
NO. typo, i was in a hurryblaine,wewe ni She? mmmhhhh hizi avatar hizi!
bishanga usianze kumfukuzia tu.....huchelewi wewe.... Hapo bado mzee wa ukaguzi hajagundua
thanks BADILI TABIA. is bishanga man or a woman? anyway sipo love connect so sitegemei advance kutoka kwa mtu
thanks, sijui gender za watu wengi humu ndani. aangalie asijekuingia kusikohusikabishanga ni bepari la kihaya....bonge la HE