Mpaka kufikia Umri huu nimeishi kwa shida sana ndugu zangu, moyo wa mtu umebeba mengi sana

Pole kwa mateso yote
 
Hivi Kiduku lilo yuko wapi siku hizi...?
 
Bora wewe unaendesha gari!! mie naruka na helikopita moja juu kwa juu tano ziko sambamba na helikopita yangu natua Hotelini nakula na kucheza disco nikitoka naruka na helikopita hiyohiyo kwenda napotaka sehemu pekee nayo gusa ardhi ni kwenye ZOO Tu basi!

siri kwa kutumia mikono! ni mirija maalum inawekwa kwenye mitungi maalum!! soo! navuta tu rojo ya, matunda, nguruwe,wadudu maalum km senene, kuku nk yaani inakuwa hivi myeeee! mpaka nashiba! halafu wananibeba haooo! mpaka kwa kiti ya helikopota!!!

control tower anasimamisha anga lote mpaka nipite mie kwanza! .......wkt nasafiri naweza lala lkn helikopita ikatua yenyewe sasa nakuuliza nani zaidi?
 
Sijasoma uzi ila nahisi kuna shida hapa....
 
Salute kwako
 
Pole Sana kwa maisha unayopitia uko duniani. Ukija uku mbinguni maisha unayoyataka utayapata. Uku utachomwa Moto daima dumu kwa uongo Wako, unaishi kwa Kula staf za ukoko alafu unatupanga hapa
MBona unakereka sana? Wacha watu waishi maisha Yao ya nyota 9
 
Amka Jamaa wanakuita wanataka Hela ya umeme usisahau zamu Yako kudeki chooni kumeshakucha na mwenye nyumba kasema Leo kakuchoka kama hutomalizia pango lake anakufukuza [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…