Ni miaka zaidi ya 20 sasa imepita tangu niwajue mabinti wengi waliorubuniwa kirahisi na hii combination huku wengine wakijazwa mimba, kukatisha masomo na wachache waliobahatika wakiolewa.
Nilidhani ni mambo yaliyopita baada ya taasisi mbalimbali kutoa elimu lakini nachokiona nimebaini hii ni vita ngumu sana
nachoka sana sijui tuwaelimishaje hawa mabinti zetu