min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Wapi nimetaja❌na✅?Unauhakika gani iwapo nimeweka alama ❌ na ✅ kumaanisha neno Moja ni sahihi na lingine limekosewa?
Wapi nimetaja❌na✅?Unauhakika gani iwapo nimeweka alama ❌ na ✅ kumaanisha neno Moja ni sahihi na lingine limekosewa?
Kwema mkuu?Baraza la kiswahili Tanzania akiwa kazini!😂
Huo uzi umeupost leo me ndo nautafuta mkuu
Umetambuaje kama nilikuwa najaribu kurekebisha?Wapi nimetaja❌na✅?
Wapi nimedai nimetambua?Umetambuaje kama nilikuwa najaribu kurekebisha?
Kwema tu za hapa ndaniKwema mkuu?
Kama haukutambua ulifanyeje?Wapi nimedai nimetambua?
🚮Kama haukutambua ulifanyeje?
Bomba, vipi Leo umepwta Uzi wa kuburudisha?Kwema tu za hapa ndani
Hamna lolote humu ngoja niende Instagram tu😀😀Bomba, vipi Leo umepwta Uzi wa kuburudisha?
Usipo toa lolote wewe unategemea nan atoe?Hamna lolote humu ngoja niende Instagram tu😀😀
Mbona kuna watu wana maudhui mazuri TU!!Usipo toa lolote wewe unategemea nan atoe?
Bora uende TikTok umwangalia HAYA LAND HOV anavyonengua na kugeuza geuza macho.Hamna lolote humu ngoja niende Instagram tu😀😀
Binti wa zamani anajua kulichangamsha jukwaaMbona kuna watu wana maudhui mazuri TU!!
Me sina content za maandishi mkuu, me nipo kutoa engagement TU hapa
Utafikiri wakila wanashiba mwaka mzima na hawaendi ku"poo"Hakuna Siri zaidi ya umaskini, na ukimbukeni .
HahahaUtafikiri wakila wanashiba mwaka mzima na hawaendi ku"poo"
Uzi ufungweHakuna Siri zaidi ya umaskini, na ukimbukeni .