Na upoyoyo juu.Hakuna Siri zaidi ya umaskini, na ukimbukeni .
Hakuna Siri zaidi ya umaskini, na ukimbukeni .
😂 Na unakuta muda huu dada yako au binti yako anabugia hivi vitu akidhani ofa kumbe kuna mwamba kashakodi chumbaNa upoyoyo juu.
Dada yangu Wala binti yangu hawezi bugia hivyo vitu eti kama ofa , mayai na viazi Sio vitu vya kuwayumbisha hata kidogo😂 Na unakuta muda huu dada yako au binti yako anabugia hivi vitu akidhani ofa kumbe kuna mwamba kashakodi chumba
Ku-ma weeee 😁😁😁.!!!😂 Na unakuta muda huu dada yako au binti yako anabugia hivi vitu akidhani ofa kumbe kuna mwamba kashakodi chumba
Ukimbukeni ❌.Hakuna Siri zaidi ya umaskini, na ukimbukeni .
"Tatizo Njaa" - Hashimu Rungwe 2015Ni miaka zaidi ya 20 sasa imepita tangu niwajue mabinti wengi waliorubuniwa kirahisi na hii combination huku wengine wakijazwa mimba, kukatisha masomo na wachache waliobahatika wakiolewa.
Nilidhani ni mambo yaliyopita baada ya taasisi mbalimbali kutoa elimu lakini nachokiona nimebaini hii ni vita ngumu sana
nachoka sana sijui tuwaelimishaje hawa mabinti zetu
View attachment 3527182
View attachment 3527183
Unauhakika Gani nilikua na maanisha hivyo na Sio kwamba haujajua maana ya nilichoandika?Ukimbukeni ❌.
Ulimbukeni ✅.
Baraza la kiswahili Tanzania akiwa kazini!😂Ukimbukeni ❌.
Ulimbukeni ✅.
Unauhakika gani iwapo nimeweka alama ❌ na ✅ kumaanisha neno Moja ni sahihi na lingine limekosewa?Unauhakika Gani nilikua na maanisha hivyo na Sio kwamba haujajua maana ya nilichoandika?