Mpaka leo kuna watu hawamiliki magari? Huo si uchizi?

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Yaani inakera hivi kweli mtu mpaka leo Hamiliki magari au Gari? Kwa miaka hii magari yalivyo bei rahisi yaani milioni mbili tu mtu unapata ndinga kali? Halafu la kinyama kinoma yaani kutomili Gari miaka hii huo ni ukora na uchizi kupitiliza.

Yaani mimi sihangaiki kupiga stories na mtu ambaye hamiliki nikuona wewe humility Gari nakufukuza mimi kampani yangu ni ya watu wanaomiliki magari.

Kama haumiliki Gari jiangalie mara mbili mbili we unaweza kuwa chizi au akili zako haziko vizuri! Badilika miliki ndinga kali na miliki mtoto mkali bikes.

This thread posted by someone who drive Mark X, Jeep, and many many cars.
 
Kama haumiliki Gari jiangalie mara mbili mbili we unaweza kuwa chizi au akili zako
Hata Manara anamiliki ndinga, Ila alishawatukana yanga wote kuwa hawanaga akili isipokuwa dingi yake na kikwete.

Unataka kusema machizi hawamiliki ndinga?

Acha uongo bwashee.
 
Reactions: Tui
Ile Mada kuhusu Afya ya Akili naomba iwekwe hapa kama comment ili tusaidiane jaman..
 
Bipolar Disorder & PTSD is real wakulungwa tushakupoteza kwenye hizo corridor za hapo milembe umeiba simu ya daktari ngoja aje Intelligent businessman umempoteza mgonjwa wako huku uje umchukue
 
Tunaomba radhi kwa wale wote watakaokwazika mwandishi ni mmoja wa wagonjwa wetu katika hospital ya crazy for life.

Ndugu Mwana mzizima , alifanikiwa kutoroka jana na kuiba simu za ofisi na Sasa anaropoka hovyo tu.

tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia swala hili hivyo mvumilieni.

Naambatanisha ushahidi wa vyeti alivyovipata kutoka hospital
 

Mpe uangalizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…