Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Yaani inakera hivi kweli mtu mpaka leo Hamiliki magari au Gari? Kwa miaka hii magari yalivyo bei rahisi yaani milioni mbili tu mtu unapata ndinga kali? Halafu la kinyama kinoma yaani kutomili Gari miaka hii huo ni ukora na uchizi kupitiliza.
Yaani mimi sihangaiki kupiga stories na mtu ambaye hamiliki nikuona wewe humility Gari nakufukuza mimi kampani yangu ni ya watu wanaomiliki magari.
Kama haumiliki Gari jiangalie mara mbili mbili we unaweza kuwa chizi au akili zako haziko vizuri! Badilika miliki ndinga kali na miliki mtoto mkali bikes.
This thread posted by someone who drive Mark X, Jeep, and many many cars.