Mpaka leo kuna watu hawamiliki magari? Huo si uchizi?

 
Hatimaye tumefikiwa tusiokuwa na magari kwani hii dunia ni yetu
 
Ukute tecno pop1 ipo mkononi ikiwa imepigwa rubber band ili mfuniko usianguke, mkono mmoja umeshika bomba la eicher la mbagala lililojaa nyomi, kwapani kuna fungu la dagaa kwenye mfuko kwa ajili ya ugali wa usiku.
Ukienda mbali zaidi vizazi vya babu wa mababu zake hakuna aliemiliki hata punda kiwete halafu mwamba anakandia wasio na magari.

Faraja ya mitandao kila mtu anaweza kuisho ndoto zake kwa nadharia.
 
Mshamba umepata smart phone
 
Tunaendelea kusubr zishuke Bei
 
Etu 2M jamani tupelekeni polepole imekua ghafla sana na hayo magari zenu bhana
 
yaani milioni mbili tu mtu unapata ndinga kali? Halafu la kinyama.πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ maleria ka. kichwani ni mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…