Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Ukiachana na yule muimba kaswida mwenye aibu aibu nyingi pindi akiwa jukwaani ambaye pia inasemekana ni nyoka wa kibisa Mr Lavalava , mpaka leo sielewi kigezo alichotumia diamond kumsajili huyu mluga luga kutoka yamoto Maromboso.
Huyu jamaa kwanza hana swaga, mshamba sana mpaka sura yake imekaa kishamba shamba, hajui kuimba na hana nyimbo za amsha amsha
Sasa sijui alijazwa ujinga na akina Tale mpaka akamchukua huyu dogo kishikaji yaani hata sielewi elewi kwa kifupi anaboa .
Natamani leo kesho mkataba wake na wasafi uvunjwe atuondolee kiwingu tu maana tangu aje pale wasafi ametuletea nuksi tupu.