Huna lolote..pale hakuna kitu kabisaUsipokua mchawi utakua mshirikina au mfuga majini mana sio kwa chuki hiyo.
Ukizungumzia muziki wewe itakua hujui lolote kuhusu mziki labda ngoma za kienyeji.
Kweli unasema mboso hajui kitu??sifa kubwa ktka muziki ni kusound uniquely ili kujitengenezea identity na brand,,katika hilo bwana mdogo mboso amejitahidi japo inabidi akaze buti kujitengenezea brand yake.
Acha chuki binafsi na roho Mbaya,, , sapoti mziki wa kwenu. Bila shaka we ni mwana fisiemu ndo wenye vipaji vya chuki na uuaji