Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
jamaa sijui alitumia kizizi kusajiliwa wasafi maana duh , hana sifa hata moja ya kumfanya awe msanii wa wasafi.At least namuelewa lava lava buana,ila huyo mbosso mmmmh. Hapana,au sijui atabadilika baadae lakini sijawahi kumuelewa
[emoji15] [emoji15] [emoji15]mbona we unatabia za kike sana?
Apewe muda mpaka lini?Kaaaah jamani mbona unakauli kali hivyo kwa msakatonge mwenzio.
Mbosso yuko vizuri mbona.....mpe mda
HujielewiWEWE INAKUUMA NINI?ACHA WATU WASAJILI WATU WANAOWATA.NADHANI KAMA HAWAJASAJILI MTU KUNA VIGEZO WANAANGALIA LA TAASISI YAN WATU WANAKAA CHINI NA KUCHUKUA MTU.
SIO MAAMUZI YA PAPARA KAMA ULOCHUKUA WEWE KUANDIKA HUU UZI.KWA TAARIFA YAKO MBOSSO ALIKUWA NA MONDI WAKATI ANA SHOOT VIDEO YA ENEKA.
Anazingua sasa hapo huyu mluga luga ikiwezekana avunje naye mkataba tu ampe chake amuacheAlisema anachukua wa uswazi tu hawataki wa uzunguni ndio kigezo kikuu cha wasafi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anaendelea salama bin salminiHenche vipi Tunda anaendeleaje
Ukiachana na yule muimba kaswida mwenye aibu aibu nyingi pindi akiwa jukwaani ambaye pia inasemekana ni nyoka wa kibisa Mr Lavalava , mpaka leo sielewi kigezo alichotumia diamond kumsajili huyu mluga luga kutoka yamoto Maromboso.
Huyu jamaa kwanza hana swaga, mshamba sana mpaka sura yake imekaa kishamba shamba, hajui kuimba na hana nyimbo za amsha amsha
Sasa sijui alijazwa ujinga na akina Tale mpaka akamchukua huyu dogo kishikaji yaani hata sielewi elewi kwa kifupi anaboa .
Natamani leo kesho mkataba wake na wasafi uvunjwe atuondolee kiwingu tu maana tangu aje pale wasafi ametuletea nuksi tupu.
Vipi umelipa lile deni kwa Aunt?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anaendelea salama bin salmini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kabisa yaani.Mlugaluga hadi jina lake, jina halina swaga kabisa "Maromboso" kiasi wakajaribu kuliita "Mboso"
Hawa majamaa wawili ni mizigo pale wasafiDaah ila yule lavalava ndo simwelewi kabisaaa.....mboso bado anaimba kiyamoto he needs to change