Mpaka leo sielewi kigezo alichotumia Diamond kuvutiwa na Maromboso hatimaye kumsajili kwenye lebo yake

Mbosso ni Bonge la mwandishi ndio maana WCB wakamchukua
 
Nchi ina watu 48 milioni wote hatuwezi kuwa na fikra sawa hizi tabia za kuchukia watu ni za jinsia ya 3 usichokipenda achana nacho kapende unachopenda itakusaidia sana itaokoa mda wako utarumbana na mtu...
 
Leo nimekuelewa hance mkubwa fella kawaingiza wenzie chaka bora wangemchukua baker
 
huyu dogo hata mm simuelewi anakisauti kama kibeberu hivi. anatakiwa kubadilika
 
Kwani wewe nani, mpaka ufurahishwe ndio wengine wafanikiwe? Acha wivu, imba wewe basi kama unaona ni kazi lahisi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ati mluga luga
 
At least namuelewa lava lava buana,ila huyo mbosso mmmmh. Hapana,au sijui atabadilika baadae lakini sijawahi kumuelewa
Hata baada ya kuachia Ngoma ya Leo, bado humuelewi Mbosso?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…