Mpaka leo sijaona beki wa kati kama Victor Costa "Nyumba"

Utakuwa unasikiliza sana radio mbao! Basilika mkuu hizi sio nyakati za kumsikikiza Sued Mwinyi akikudanganya redioni.

Huyo Cannavaro anamzidi nini Costa?
Victor Costa ni wa kumfananisha na Franco Baresi au Franz Backenbeur "the kaiser"
Mahaba yasikufanye usione ukweli. Costa ni level za akina Andrew Vincent
 
We jamaa nimekushangaa kweli! Kwahiyo kupiga chenga moja kwenye boksi ndo kuwa beki bora? Nadhani kazi ya beki ni kuhakikisha lango linakuwa salama wakisaidiana na mlinda mlango.... sasa ilikuwaje nne zote zikaingia?
 
Umeona! Alikuwa wa kawaida mno sema jamaa kaamua kumpamba tu
 
Drogba mwenyewe anauelewa mziki wa Cannavaro
 
tumpe costa sifa zake mpira wake ni kama rio fedinand stone,beki wa tottenham zanchez,beki chrestensen wa chelsea
Umeamua kuwadhalilisha akina Rio Ferdinand kwa kuwafananisha na vitu vya kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…