Mahaba yasikufanye usione ukweli. Costa ni level za akina Andrew VincentUtakuwa unasikiliza sana radio mbao! Basilika mkuu hizi sio nyakati za kumsikikiza Sued Mwinyi akikudanganya redioni.
Huyo Cannavaro anamzidi nini Costa?
Victor Costa ni wa kumfananisha na Franco Baresi au Franz Backenbeur "the kaiser"