Mpaka leo sijawahi elewa kwanini wasanii hawa hawaelewani

Mpaka leo sijawahi elewa kwanini wasanii hawa hawaelewani

Author

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
1,715
Reaction score
8,058
Wadau,

Naomba mnisaidie kuelewa, hivi ni nini sababu ya kutoelewana;

1.Diamond na Ali Kiba

2.Fid Q na Joh Makini

3.Kala pina na wasanii wote [emoji23][emoji23]

4.Sister P na Zay B

5.Wanaume TMK na Wanaume halisi

Au kutokuelewana kunawasaidia kimaslahi?
 
Je mashabiki tuna nafasi ya kumaliza hizi bifu?
 
Wapige mziki sisi tuburudike, wasipotaka wao wengine watatuburudisha, si umemwona Nandy? Konde boy? Zuchu ?

Sisi tunataka mziki mtam
 
Wadau,

Naomba mnisaidie kuelewa, hivi ni nini sababu ya kutoelewana;

1.Diamond na Ali Kiba

2.Fid Q na Joh Makini

3.Nomo na wasanii wote wa Hip hop

Au kutokuelewana kunawasaidia kimaslahi?

Hapo wakali ni Mond na Q hao wengine upepo wa kus ukivuma toka Clouds na hawawezi
 
Kiba anafanya bongo flavor..Mond anafanya muziki haueleweki mnafananisha vp
 
Joh Makini na Fid Q wote walishakanakuwahawana bifu hata wao uwa inawashangaza wanaposikia watu wanasema wana bifu
 
Wadau,

Naomba mnisaidie kuelewa, hivi ni nini sababu ya kutoelewana;

1.Diamond na Ali Kiba

2.Fid Q na Joh Makini

3.Nomo na wasanii wote wa Hip hop

Au kutokuelewana kunawasaidia kimaslahi?
Hili la Fid Q na Joh Makin ndo nasikia leo, hebu tupe tukio linaloweza onesha hawa watu ni rivals!
 
Back
Top Bottom