Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Leo ndio nimehitimisha kuwa wazazi wengi wanaopeleka watoto EMS ni wale washamba, mostly ni watu ambao wameishia shule za msingi. Wanadhani elimu ni KIINGEREZA.
Mtoto makubwa yuko darasa la nne na mdogo darasa la pili. Lakini hawajaanza bado. Huyu mama anafanya kazi za kuhudumia mifugo ya mtu, ni single Maza lakini kitendo cha kusomesha watoto shule za serikali anasema ni upumbavu.
Anayesoma EMS, government shool na international school wote wanafika chuo kikuu. Sasa kwanini mtu ujitese kufanya vitu kwa sifa?
Yes, unaweza kusomesha popote kwa gharama zozote ila kitendo cha kuishi kwa shida , msosi wa shida , unavaa mitambara ili kubana ada binafsi naona ni utahira fulani hivi. Samahani